M abinti mnapenda sauti ya aina ganiiii?

Mwanangu niko masomoni mbali na babako hivo nasoma weee, nikichoka naamia JF. Ukiona nimepotea jamvini ujue niko na babako. Kwa sasa niko alone. Ila full wasi wasi nyumba ndogo asije pata promotion ukizingatia baba yako ana sauti kusema Barry White! aaah wivu utaniua.


Mumy uko hapa mpaka saa izi au dady leo yuko kwa nyumba ndogo?
hapo kwa Berry white nimekusoma,izo ndo sauti za ukweli
 
haya mabarobaro wenye vijisauti kama mnabalehe keshokutwa nitafuteni niwape dawa msikimbiwe na wapenzi
 
mabinti wanapenda sauti nyororo km ile ya mh. fulani.....(joke), i mean wanapenda sauti yenye msimamo na iliyojitosheleza, sauti nzito ya kiume!
 
mchina hajashtukia hili?

Teh teh,akishtuka ataleta dawa ya kuongeza uzito kwa me wenye sauti nyembamba na ke wenye sauti nzito atawaletea dawa ya kufanya sauti ziwe nyororo! manake wameshagundua waafrika wapo kuwaza kufanya ngono zaidi badala ya maendeleo!
 
Back
Top Bottom