Lwekatare wa CUF kuhamia CHADEMA

CCm ndio wenyewe kwa kusafirisha watu toka sehemu za mbali na jirani chaguzi zinakofanyika bora chadema walichukua Tarime sasa CCM waliwatoa toka Dar es Salaam,wakifanya tabia za kijambazi kabisa
Polisi sasa hivi wanjulikana kwamba lao moja mkuu kuchafua chadema kwa mbinu zozote zile na wala sio jpya kila mtu anafahamu


Ahsante sana bora wewe ume admit. Ila hii inaweza kuwa excuse kama CCM ikifanya ndo CHADEMA nao wafanye? au ndo mbadala wenyewe huu?
 
Mi hadi leo najiuliza watu wengi wana akili ya aina gani vichwani mwao.
Hivi mlitaka Lwakatare asitoke kafu hata kama haoni sababu ya kuendelea kukaa?
Na nyie watu wa kafu mlitaka kama anaondoka aende wapi? mlitaka aende sisi maf....?
Si afadhali alikwenda Chadema? je mgelisikia kahamia sisi maf.... si mgelisema nini?
 
kagasheki anatamani lwakatare asishinde hii kesi ili aendelee kuiongoza bukoba. Kwa sasa lwakatare alipo ni Mbunge wa Bukoba mjini. mia
 
Back
Top Bottom