Luteni Kikwete?

Buchanan

JF-Expert Member
May 19, 2009
13,199
1,969
Hivi kwa nini JK hatumii cheo chake cha kijeshi kama wanaotumia akini Kapteni Chiligati, Mkuchika, Makamba, etc? Na kwa nini anakuwa Amiri Jeshi Mkuu huku akiwa na cheo kidogo, Luteni, ukilinganisha na vyeo vingine vya Jeshi? Au anapandishwa Cheo automatically anapoapishwa kuwa Rais?
Just thinking loudly!
 
Ni Luteni Kanali (Lt Col) huyu sio luteni (Lt) kijeshi, kutokutumia sijui kwa nini labda anapenda udokta tu
 
KIKATIBA UNAPOKUWA RAIS UNAKUWA AMIRI JESHI MKUU......na sio cheo chako cha kijeshi ...hata waliokuwa raia wasiojua hata MGUUUUU UPANDEEEE....MOJAAAA....! kama mwinyi ,mkapa na nyerere waliwezakuwa ma-amiri jeshi wakuu!
 
Uamiri-Jeshi Mkuu haufuti cheo cha kijeshi mtu alichokuwa nacho. Kama alikuwa mwanajeshi cheo cha kijeshi kinabaki, lakini anaongezewa pia uamirijeshi mkuu. Kwa hiyo kusema kwamba JK hatumii cheo chake cha kijeshi cha Luteni-Kanali kwa sababu ni amirijeshi mkuu si sahihi. Fikiria kwa mfano hata marais wa nchi nyingine waliokuwa wanajeshi walijitambulisha hivyo pamoja na kwamba wao walikuwa ni maamirijeshi wakuu, mf. Sajenti Samuel Doe, Generali Idd Amin Dada, Kanali Ghadafi, nk. Hawa wote ni (walikuwa) Maamirijeshi wakuu wa majeshi ya nchi zao. Labda Jk tu hapendi cheo cha kijeshi kwa sababu anazozijua mwenyewe.
 
HEE!!! Nilisahau kama Muungwana kumbe ni mwanajeshi! Hii inaweza kueleza mengi sana yatokanayo na utawala wake!!!
 
Hivi kwa nini JK hatumii cheo chake cha kijeshi kama wanaotumia akini Kapteni Chiligati, Mkuchika, Makamba, etc? Na kwa nini anakuwa Amiri Jeshi Mkuu huku akiwa na cheo kidogo, Luteni, ukilinganisha na vyeo vingine vya Jeshi? Au anapandishwa Cheo automatically anapoapishwa kuwa Rais?
Just thinking loudly!

wana JF wana ufahamu mkubwa sana ....kiasi cha kushindwa kujuwa kuwa kikwete amestaafu jeshini akiwa LUTENI KANALI[Liutenant Colonel]......sidhani kama ulifanya utafiti hata kidogo kabla ya kubandika hili.....!!!

rank ni rank tu....nadhani mnakumbuka amiri jeshi mkuu aliyekuwa akiitwa Sergent Samwel Doe.........
 
Labda Jk tu hapendi cheo cha kijeshi kwa sababu anazozijua mwenyewe.

..JK hakuwa na rekodi ya kujivunia jeshini...hakupata kushiriki operation ngumu za kikomandoo .....he was just a political commissar.....kulikuwa na kitengo cha siasa jeshini...ambacho wenyewe askari wakakamavu walikuwa wakiwaita askari raia....the like of Nsa Kaisi..,jk,maj general natepe,brig gen moses nnauye,the john kombas...etc etc....hawa wote ni askari lakini huwezi kuwaweka kundi moja na hardened soldiers the like of musuguri,walden,kiaros,msuya,mwakalindiles,mbomas,mayungas....sayores and the like .....hawa askari walioiva kimapigano .....daima utagombana nao kama utawaita bila kumtaja kwa che chake...daima hujivunia sana ....vyeo vyao ..walivyovipata kwa taabu........

Jeshini the like of JK they never go in front line.....sanasana walienda huunda vikundi vya propaganda .....like what Brig,GEN mohamed al sahaf..was doing in IRAQ.....na sintakosea kusema kuwa kwa kuongea na kupiga tararira......JK kweli ni liutenant colonel .....anaweza kukupa matumaini ukafikiri umekuwa teja na tayari bongo ni New York!!!!!...akimaliza kuongea unajikuta unarudi kwako Tandale kwa mtogole ile ile !!!
 
Mkuu hapa umenena. Siku zote hawa mabwana wanaojisifu kwa kuvitaja vyeo vyao vya kijeshi wamevipata kwa udi na uvumba!
 
wana JF wana ufahamu mkubwa sana ....kiasi cha kushindwa kujuwa kuwa kikwete amestaafu jeshini akiwa LUTENI KANALI[Liutenant Colonel]......sidhani kama ulifanya utafiti hata kidogo kabla ya kubandika hili.....!!!

rank ni rank tu....nadhani mnakumbuka amiri jeshi mkuu aliyekuwa akiitwa Sergent Samwel Doe.........

...ama yule Luteni Kanali Jerry Rawlings wanayemsulubu sasa The Hague.
 
Amiri Jeshi Mkuu Luteni Kanali Daktari Jakaya Mrisho Kikwete....................raisi inakuja wapi jamani? Kwa mpangilio wa kiitifaki?
 
TPDF ina askari maofisa ambao ni wasomi waliobobea ktk ukakamavu na usomi ktk nyanja mbalimbali kama upasuaji ubongo, ICT, sheria n.k n.k mfano hawa hapa chini:
Tanzania Peoples` Defence Forces (TPDF) chief medical officer Brigadier General Prof Yodan Kohi
Justice Brig. Gen. Augustino Ramadhani,
 
Akina JK ni wale waliopelekwa Jeshini kwa ajili ya propaganda na kuwa kama antena za chama hasa baada ya Army Mutiny ilionekana lazima kuwe na antena za serikali Jeshini.
Ebu imagine miaka ile na degree yake kaambulia uluteni uoni alikuwa mzembe,kuna kijana ana kama 5 years ivi sasa ni Meja sasa in ten years si atakuwa Brigadia kama hawatamuwekea zengwe.
Ila kwa JK jinsi alivyo sidhani kama ata anastaili kuitwa Luteni
 
its true mpaka anatoka katika active service alikuwa Luten Colonel. Kuhusu kutumia, don't you see the impression? nchi inaongozwa na mwanajeshi? you don't need kuwaambia wasiojua. otherwise, it would just be ok kutumia kama kina luteni makamba na wengineo wastaafu.....
 
KIKATIBA UNAPOKUWA RAIS UNAKUWA AMIRI JESHI MKUU......na sio cheo chako cha kijeshi ...hata waliokuwa raia wasiojua hata MGUUUUU UPANDEEEE....MOJAAAA....! kama mwinyi ,mkapa na nyerere waliwezakuwa ma-amiri jeshi wakuu!
Mkuu unafikiri hajui huyo jamaa kuwa kikatiba inasema hivyo? Huyo jamaa nimkorofi tu. Hana lolote la maana. Amefulia
 
Back
Top Bottom