Luteni Kanali analea Mtoto Wangu.... Nyie wanawake HATaRiiiii!!!!

kaanzishe valangati la kufa mtu kwa luteni kanali hadi akupe mtoto wako...
 
njoo mchukue mwanao ati ameshakuwa mkubwa . yaani huwezi kumkataa kwa jinsi alivyofanana na baba yake .
huyu hapa .

533086_208200412630857_100003226988343_350919_1530047102_n.jpg
 
Hujanichamba.... Alwayz naheshimu logic argument, hata iwe chungu kama mwarobaini!!!!!!
Umenipa ushauri mzuriiiiii

Mbwa hazomei yaliyopta, tugange ya keshoooo!!!!

Kidumu Chama cha........ Cjuw wew uko C..M gani?????

Unaona sasa ulivyo na mawazo ya kitoto? Mambo ya kidumu chama cha nini sijui hapa yanakujaje?
 
Duuuuu...
Hiki kisa cha maisha yangu ya MMU nikikaa pekee yangu, naishia kuchekaa!!! Kweli wanawake wanaweza, nawaheshimuuuu bana, kongosho, smile, mwali,.... Mko wapi???

2007 nilikuwa na gf tukakorofishana k2 kidogo... Najua utoto cjuw... Bt i was 26..
Nikampga chini, mwez feb, akanibaka!! Yaan alinilazimisha ku-do....

Alienda lodge akapanga chumba, she waz 21..oops... Akanisumbua kwa cm hadi nikaona niende,,, haaaa,, nikaenda kwa michezo ya Mourinho!!! Nikajpanga cmtak hata kumuona.... Kanisumbua, aaaa wapi

Then nikaenda chuo... Mmmmmm, narudi likizo,nashangaaa mfanyakaz mmaamaaa anaanza kuniita baba fulani, nilijuwa utaniii


Kumbe yule bint alikuwa na mimba, alipoona nimetosa alienda kwa bf wa zamani akapanga mipango ya ndoa, wakaoanaa..... Miez michache akajifunguaaaa

Mimi cna mpango wa kumtafta, after all poti kamjengea nyumba na kumnunulia gari



Tatizo, huyu bint kameanza kunisumbua, nilienda kumuona cku moja, akafurahi, tena akawa anamwambia yule mtoto msalimie baba yako.... Loooo

Mimi nikabak kuduwaah..... Tena anauliza umeoa, nataka unioe!!!! Jamanii

Akikaa akpiga simu anasema ongea na mwanao, and the baby boy anaanza kusikika!!!!



BTW: vijana wadogo zangu heshimu wanawake.....wana siri nzito mioyoni!!!!
Mi hapa ni kuuchuna principal, ctak kumuona tena, hata cm zake nazkwepa. Ctak kuharibu maisha ya poti..... Maumiv ya mapenz ni mabaya!!!!

Binafs, cna mke wala mtoto!! Nawaogopa, nakula kwa style ya Ali Kiba

Wewe ni mwanaume halafu 31?!! Inanishangaza maandiko yako yamekaa kidemudemu!
 
Nina wasiwasi na umri wako!mwanaume wa 31 yrs hawezi kuact au kua na mawazo kama yako..
Ulikua na miaka 26 umfuate mtu lodge then useme alikubaka dume zima?oh no thank you!.
Wewe ni iresponsibe man,ulimpa mtu mimba ukamkimbia,now analelewa na mwanaume mwingine bado unajiona mjanja!! What a shame??kha!
 
Hujanichamba.... Alwayz naheshimu logic argument, hata iwe chungu kama mwarobaini!!!!!!
Umenipa ushauri mzuriiiiii

Mbwa hazomei yaliyopta, tugange ya keshoooo!!!!

Kidumu Chama cha........ Cjuw wew uko C..M gani?????

Aseee!!! Umenikosha hapo mwaishoni.
 
" There are men in this world who go about demanding to be killed. You must have noticed them> They quarrel in gambling games, they jump out of their automobiles in a rage if so much scratches their fender, they humiliate and bully people whose capabilities they do not know. These are people who wander through the world shouting "kill me. Kill me". And there is always somebody ready to oblige them." Godfather by Mario Puzzo

We endelea tu kupiga kelele kill me kill me..Somebody will do it without questioning twice
 
Ha ha ha, ujue wewe ni mkorofi wa kuzaliwa?

Sijui ni poti, eti hujanichamba.

Hujanichamba.... Alwayz naheshimu logic argument, hata iwe chungu kama mwarobaini!!!!!!
Umenipa ushauri mzuriiiiii

Mbwa hazomei yaliyopta, tugange ya keshoooo!!!!

Kidumu Chama cha........ Cjuw wew uko C..M gani?????
 
Nimepitia story yako inaonekana yeye ndio alitaka kukubambikia wewe so hakuna sehemu inayoonyesha wewe ndio umempa bali ilitaka kula kwako!
 
Pole pascal naestimate umri wako utakuwa 29 or 30 lakini bado hujitambui
Hujanichamba.... Alwayz naheshimu logic argument, hata iwe chungu kama mwarobaini!!!!!!
Umenipa ushauri mzuriiiiii

Mbwa hazomei yaliyopta, tugange ya keshoooo!!!!

Kidumu Chama cha........ Cjuw wew uko C..M gani?????
 
mtoto sio wako,acha kujidai ushababi...mbegu za kumntungisha mtu mimba huna....:wacko:
 
Back
Top Bottom