Lusinde na kampeni za matusi umeambulia aibu kubwa

Baada ya mzee wa Matusi kubwagwa yeye na chama lake la magamba PWAAAAAAAAAA!Hivi anaingiaje na anaonekana vipi bungeni mara ya kwanza siku Nasari anapoingia mjengoni?
 
Jamani vip wale wabishi wa magamba wameenda wapi? nimejaribu kupita thread zote siwapati du sijui nifanyeje?wana bodi hebu nipeni physical location zao niwafuate nimelewa na ushindi jana sijalala
 
Sasa hivi Lusinde kimyaaa,nasikia kachukuliwa jana usikuusiku na basha wake Mwigugu kuletwa hotelini huko Dsm. Hivyo,kwa muda huu Mwigulu anampulia kisogoni bwabwa wake. Mwee,pole Lusinde na pia pole ziwafikie wana Mtera kwa kutoa mbunge ambaye ni chakula ya watu (Mwigulu)
 
Sasa hivi Lusinde kimyaaa,nasikia kachukuliwa jana usikuusiku na basha wake Mwigugu kuletwa hotelini huko Dsm. Hivyo,kwa muda huu Mwigulu anampumlia kisogoni bwabwa wake. Mwee,pole Lusinde na pia pole ziwafikie wana Mtera kwa kutoa mbunge ambaye ni chakula ya watu (Mwigulu)
 
Lusinde anaongea jukwaani kama vile ni CD yuko mitaani usiku wa manane; hajali wanaomzunguka. Ingawa kweli Elimu siyo kila kitu lakini inasaidia sana kwa mambo mengi.
 
Kwasababu hana ADABU,hatajali! ila nafsi itakua inamsuta! ujumbe umefika!
 
Itakuwa powa tu qani kama aliweza kumwaga matusi ya nguoni hadharani kwenye kadamnasi ya watu wakiwemo watoto wadogo atashindwaje kuingia mjengoni ambapo watu wapo takribani 370 tu?
 
Kila mpenda amani anapasa kumshukuru sana Lusinde....huyu ndiyo mwanamageuzi mkuu!..Kazi nzuri sana kaifanya huyu kuikomboa Tanzania!
 
Wadau baada ya uchaguzi kuisha, Lusinde MB wa Mtera ashitakiwe for defarmation kwa matusi aliyoyatoa Ngarenaro particularly on Lema. He will never escape defamation case
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom