Lupago

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,228
Msela kaingia lupango, kufika tu wahuni wakamkaribisha mwali mwali mwali akaona hapa ataolewa mtu leo, wakamuuliza kosa alilofanya akajibu ameua watu wengi sana,jioni akaja kuwekewa dhamana na ndugu zake askari kaja kumuita we ulieiba dafu njoo hapa jamaa akaenda watu ayaaaaaaaaaaaaa!
 
Dah! Jamaa kaumbuka ile mbaya, ila maujanja yamemsaidia la sivyo kabla hatoka wangemmega kiboga mpaka basi
 
Back
Top Bottom