Lunyungu ( JF member) is seriously ill ! - UPDATES

Mkuu Lunyungu pole sana. Mungu azidi kukupa nguvu. Niliona thread hii zamani na sikukumbuka kuulizia tena hali yako. Nashukuru u bukheri wa afya. Kama hautajali tafadhali nipe taarifa za unavyopatikana.
Pili,kama mchangiaji mwingine alivyoomba,naomba ufafanuzi wa Cancer na AC ya gari. Plizzz. Na waliweza ku establish vipi uhusiano wa hivyo viwili?
Salaam!
 
pole sana lunyungu. tunakuombea Mungu upone.pole sana,hakika tunakumis.
 
Mie nimeshtuka nikasema Mkuu anaumwa tena? Kumbe huu uzi ni wa tangu 2010.
 
Msanii bwana.Kuna tabibu hapa ?

Wakuu kwa kweli nimeona sala zenu ila kwa kifupi niseme kama nisingalikuwa na access na matibu Tanzania hakuna .Prof .Kahamba anatibu lwa mazoea na wengi nasikia wana mwamini mno but ni mzigo .Alio wahi kuwaibu alibahatisha na Mungu wao ni mkubwa .The guy aliamua kutaka kuni opetrate baada ya kuona MRI scan imeonyesha disc zimekuwa compressed nikamuuliza uti wa mgongo unataka kufanyaje ? Yeye anataka nisiulize ila nilazwe MOI anipasue nikasema hell no .

Nimefika Ulaya jambo ambalo Tanzania walichukua mwezi na siku kadhaa kutafuta ugonjwa it took the doctors Ulaya only 4 hours wakajua ninaumwa cancer na ilitoka na ac ya gari.Wakagundua damu iliisha kaushwa na kuongezewa damu haraka haraka , sikupasuliwa na nimelala kitandani hosp muda murefu sana kuanzia mwana jana Sept hadi mwaka huu March .Mungu akasimama nami leo naongea nanyi na natembea wakati TZ walismea siwezi kutembea tena .Hawa ndiyo ma daktari wetu wa kuaminika Tanzania lakini wana shida kweli zaidi ya wagonjwa wenyewe .

Mods naona ili kuepuka kuchanganyana mgeweka hii message hapo juu kama update sababu naona mkuu ameshapona lakini watu wanauliza yupo hospital gani na wanamwombea apone haraka
 
kuna watu wanfanya makusudi, ina maana hata tarehe ya post 1 hatusomi?
 
Msanii bwana.Kuna tabibu hapa ?

Wakuu kwa kweli nimeona sala zenu ila kwa kifupi niseme kama nisingalikuwa na access na matibu Tanzania hakuna .Prof .Kahamba anatibu lwa mazoea na wengi nasikia wana mwamini mno but ni mzigo .Alio wahi kuwaibu alibahatisha na Mungu wao ni mkubwa .The guy aliamua kutaka kuni opetrate baada ya kuona MRI scan imeonyesha disc zimekuwa compressed nikamuuliza uti wa mgongo unataka kufanyaje ? Yeye anataka nisiulize ila nilazwe MOI anipasue nikasema hell no .

Nimefika Ulaya jambo ambalo Tanzania walichukua mwezi na siku kadhaa kutafuta ugonjwa it took the doctors Ulaya only 4 hours wakajua ninaumwa cancer na ilitoka na ac ya gari.Wakagundua damu iliisha kaushwa na kuongezewa damu haraka haraka , sikupasuliwa na nimelala kitandani hosp muda murefu sana kuanzia mwana jana Sept hadi mwaka huu March .Mungu akasimama nami leo naongea nanyi na natembea wakati TZ walismea siwezi kutembea tena .Hawa ndiyo ma daktari wetu wa kuaminika Tanzania lakini wana shida kweli zaidi ya wagonjwa wenyewe .

Duh! Kweli tushukuru. Kitu kama hichi kilitokea kwa rafiki yangu Mzambia. Alienda kwao kutembea, ghafla akaanza tatizo la mgongo. Kukaa kidogo, akawa fully paralysed. Madktari kule walishindwa kabisa. kumsafirisha nje ilikuwa taabu maana alikuwa anahitaji kulala sehemu flat. Ndege zilisumbua kweli. Kwa bahati aliweza safiri na kufika London. Wakamkuta ni cancer ya uti wa mgongo. Hii kitu ni balaa! Sasa ivi ana recover taratibu. Anaweza hata kutembea. Africa kweli tukiitwa THIRD WORLD...tusilie. We are trully THIRD WORLD!
 
Mkuu Lunyungu, pole na siku nyingi za maumivu. Bwana akupe afya njema na jina lake lihimidiwe kwa aliyokutendea.
UMK.
 
Dah, yaani huu uzi umeni-touch mno. Nimshukuru tu Mungu muumba wa vyote kwa kukuponya. Huwa najiuliza watu wote ambao kwa namna moja au nyingine wamekumbwa na madhara ya rushwa na uzembe ktk mahospitali, barabarani, vituo vya police, mahakamani na ktk kila ofisi ya umma, hivi kweli wanajua kuwa dawa ya kukomesha uovu huu iko mikononi mwao????
Mungu akupe maisha marefu mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom