Lunyungu ( JF member) is seriously ill ! - UPDATES

Ndugu wana JF,

Tunasikitika kuwataarifu kuwa mwenzetu Lunyungu ambaye ni JF member, anaugua mno, hawezi kusimama wala kukaa, anaishi kwenye wheelchair.
His lower disc has been compressed ,ana maumivu makali sana na anasubiria operation.

Anasema anawamiss sana JF members na anamiss the forum.
Kwa yoyote anaetaka kuwasiliana nae, namba yake ni 0767 554433.

Uongozi wa Jf na kwa niamba ya members wote wa JF inampa pole sana na inamtakia afya njema na apone haraka.

Mungu mbariki na msaidie Lunyungu.

....daaa pole sana kamanda, Mungu akujalie upone haraka urudi kwenye michakato ya maisha.......!
 
ndugu wana jf,

t
unasikitika kuwataarifu kuwa mwenzetu lunyungu ambaye ni jf member, anaugua mno, hawezi kusimama wala kukaa, anaishi kwenye wheelchair.
His lower disc has been compressed ,ana maumivu makali sana na anasubiria operation.

Get well soon...!!
Anasema anawamiss sana jf members na anamiss the forum.
Kwa yoyote anaetaka kuwasiliana nae, namba yake ni 0767 554433.

Uongozi wa jf na kwa niamba ya members wote wa jf inampa pole sana na inamtakia afya njema na apone haraka.

Mungu mbariki na msaidie lunyungu.

get well soon mkuu!!
 
Tunashukuru sana kwa taarifa hii pole sana Lunyungu Mungu yuko pamoja nawe katika kipindi hiki ni matumaini yetu kuwa operation itaenda successful na Mwenyezi Mungu atakujalia upone haraka. We will remember and put you in our prayers.
 
Nimetoka kuongea na Lunyungu dakika chache zilizopita kifupi alichoniambia ni kuwa anasikia maumivu ila anajitahidi sana kuvumilia kwa sasa anameza pain killers, operation amesema itafanyika next week they are flying him to Holland kwa ajili ya operation kwahiyo ameomba sana tumuombee na pia tumkumbuke kwenye sala zetu kwa kuwa kila kitu ni kwa uwezo wa mwenyezi Mungu
 
Ndugu wana JF,

T
unasikitika kuwataarifu kuwa mwenzetu Lunyungu ambaye ni JF member, anaugua mno, hawezi kusimama wala kukaa, anaishi kwenye wheelchair.
His lower disc has been compressed ,ana maumivu makali sana na anasubiria operation.

Anasema anawamiss sana JF members na anamiss the forum.
Kwa yoyote anaetaka kuwasiliana nae, namba yake ni 0767 554433.

Uongozi wa Jf na kwa niamba ya members wote wa JF inampa pole sana na inamtakia afya njema na apone haraka.

Mungu mbariki na msaidie Lunyungu.
Namwombea sana ndugu yetu huyu apate nafuu mapema.
Nimejaribu kumpigia hapokei, nadhani atakuwa mapumziko

ASPRIN upo wapi? yule tabibu pls namba yake nimtumie Lunyungu
 
Pole sana Mpwa
Mola akujalie afya njema upone haraka sana
We miss you Sir
 
Tutakuwa pamoja kwenye maombi.sasa hili jina lunyungu mie nina mashaka kama litafaa wakati wa maombi.Lingekuwepo orijino
 
Eee Bwana twakuomba utusikie!

Mponye mpiganaji mwenzetu Lunyungu, mpe nguvu na uponyaji wa haraka

ee Bwana twakuomba utusikie! :amen:
 
Nimetoka kuongea na Lunyungu dakika chache zilizopita kifupi alichoniambia ni kuwa anasikia maumivu ila anajitahidi sana kuvumilia kwa sasa anameza pain killers, operation amesema itafanyika next week they are flying him to Holland kwa ajili ya operation kwahiyo ameomba sana tumuombee na pia tumkumbuke kwenye sala zetu kwa kuwa kila kitu ni kwa uwezo wa mwenyezi Mungu

Thannks kwa taarifa hii mkulu....aseee...Pole sana Lunyungu, Mungu akujaalie upone haraka! tupo pamoja
 
"You are in our thoughts,
And we're all
Hoping that you will be
Enjoying better health again soon."
 
Pole sana kaka,bwana akulinde na maumivu yote na akuponye ugonjwa unaokusumbua, AMINA!!!!!!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom