Lunch yangu ya leo...!

uanwaharibia watu swaum bwana uwe unaangalia threads za mwezi wa ramadhani
sio kila thread tu unaiweka

mkuu hili ni jukwaa huru na nchi yetu ni huru suala la imani linapohusika, na uzuri kichwa cha habari chahusika barabara!
mfano ni timu ya Azam ambayo inamilikiwa na na wahusika ambao kwa asilimia kubwa ni Waislamu, lakini wakati wa mfungo wamecheza mpira wakiitangaza brand ya Azam ambayo products zake asilimia kubwa ni chakula...
 
we mwenyeji wa wapi ndugu?...kwetu siye vichuguu vinatoa kumbikumbi wakubwa...anyway karibu mezani
kweli sasa nimeona ni kumbi kumbi, nawapenda pia, ila inabidi wakaushwe vizuri, otherwise unaweza rudisha chenji
 
kweli sasa nimeona ni kumbi kumbi, nawapenda pia, ila inabidi wakaushwe vizuri, otherwise unaweza rudisha chenji

hahaha..yeah wakikauka vizuri ndio mpango mzima...ingawa wapo watu wanamla mbichi na mabawa yake
 
Mkuu umenirudisha mbali sana leo... nitakutafuta kwa zawadi yako.... hivi hapa dar wanapatikana wapi hawa?

hahaha...huu mlo wengi sana tumeukosa kwa muda mrefu...naisubiria hiyo zawadi mkuu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom