Lunch yangu ya leo...!

Watu8

Platinum Member
Feb 19, 2010
70,818
93,490
kumbikumbi.jpg

kwa wale tulio shamba, mlo huu unahusika!
 
Senene? kila nikiwala wananichafua roho baada ya muda. Kuna mtu alikuja enzi hizo akasema hawa wadudu wanakula maiti ndio ikawa mwisho wangu!
 
kumbikumbi hapana, kipindi tunasoma kuna mtu alikuja nao , mi nlikuwa na magimbi sasa tukawa tunachanganya chakula tunapiga pamoja, sasa hao wadudu walikuwa hawajakauka vizuri, yaani nlizomea ardhi siku ile mpaka nikakoma kudandia misosi ya watu
 
duh ingawa sili but ya kusema wanakula maiti imenimaliza nguvu
 
Senene? kila nikiwala wananichafua roho baada ya muda. Kuna mtu alikuja enzi hizo akasema hawa wadudu wanakula maiti ndio ikawa mwisho wangu!

hawa ni kumbikumbi MadameX, mpango wa senene tumuulize Bishanga
 
Last edited by a moderator:
kumbikumbi hapana, kipindi tunasoma kuna mtu alikuja nao , mi nlikuwa na magimbi sasa tukawa tunachanganya chakula tunapiga pamoja, sasa hao wadudu walikuwa hawajakauka vizuri, yaani nlizomea ardhi siku ile mpaka nikakoma kudandia misosi ya watu

hahaha, kumbikumbi na magimbi si mchezo
 
Senene? kila nikiwala wananichafua roho baada ya muda. Kuna mtu alikuja enzi hizo akasema hawa wadudu wanakula maiti ndio ikawa mwisho wangu!

hao kumbikumbi asee ni watamu balaa, nawapenda sana pia senene uwa nawapenda, demu wangu wa zamani mhaya alikuwa ananiletea kila akienda kwao
 
Ee bwana
Hapo una balanced diet, protein kwa wingi, omega3 hukosi,wanga ndo usiseme
Halafu utamu wake unakula kwa mkono, aaah wanikumbusha mbali

kaka mkono unapohusika ni mwendo wa kumega tonge mwanzo mwisho
 
tulikuwa tunachanganya misosi, kikundi cha marafiki wa kijiji kimoja mnapiga sahani moja baada ya nyingine

maisha ya ujamaa hayo mkuu, kitambo kulikua na life poa sana!
 
uanwaharibia watu swaum bwana uwe unaangalia threads za mwezi wa ramadhani
sio kila thread tu unaiweka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom