Lulu: Sidanganyiki hadi kwaresma iishe

mie mwnzenu sijui bado niko kny denial au nini,ila siamini kuwa mtu kama lulu anaweza kumuangusha kanumba.labda km sehemu ilikuwa slippery.....

Me too dear, najaribu kupata picha kwamba huenda alitoka bafuni akiwa peku +tiles na maji maji so may be ktk purukushani akateleza... anyway just trying to think
 
mie mwnzenu sijui bado niko kny denial au nini,ila siamini kuwa mtu kama lulu anaweza kumuangusha kanumba.labda km sehemu ilikuwa slippery.....

kilichomwangusha Kanumba ni afya yake haikuweza kumudu mikikimikiki na huyo binti ni bakhati yake mbaya kuwa...............she was a wrong gal at the wrong time.................kanumba alikuwa wakuanguka tu hata kule bafuni mwenyewe...........
 
mie mwnzenu sijui bado niko kny denial au nini,ila siamini kuwa mtu kama lulu anaweza kumuangusha kanumba.labda km sehemu ilikuwa slippery.....

mbona alikuwa anaweza kumbeba?Ajabu ya nini?
 
mie mwnzenu sijui bado niko kny denial au nini,ila siamini kuwa mtu kama lulu anaweza kumuangusha kanumba.labda km sehemu ilikuwa slippery.....

Mdogo wake kanumba anasema ali slide,Inaonekana chumba hicho kina tiles.Alafu pia jamaa alikua ametoka bafuni.Kwa hio lazima miguuni kutakua na majimaji au unyevu fulani,Kuteleza ni rahisi.Ukiteleza na kuangukia kisogo ni rahisi sana kufa usipopata huduma haraka.Mimi nilishawahi kuteleza bafuni nikaangukia kisogo ,nikawa nimezimia.Niliwahishwa hospitali ikawa salama yangu.Kanumba kuna uzembe umefanyika kutokumwahisha hospitali.

Namwonea sana huruma LULU.Mungu atamsaidia
 
mi kwakweli cjui hata nisemeje,kumkosa kn imeni pain sana coz ndo mtu aliesababisha nikawa shabiki wa bono filamu.Lulu nae nilikuwa nampenda tangu utotoni kwake lkn mambo yake yakanifanya nimuweke kushoto ila kwa hili namuhurumia sana hata cjui ni nn jaman duuh!!Mungu ilaze roho ya marehem mahali pema and msaidie LUlu atoke naamini atakuwa amejifunza kitu
 
Kila m2 ataondoka hapa duniana kwa usafiri wake(kisababisho).ukitafuta utayapata mengi.wate tuko njia moja kesho ni wewe au mimi. LULU wamwache huru.
 
Siku nyingine ukifunga Lulu usijitangaze sawa! huwa haifai bora rafiki zako wa karibu ndio wajue.
 
Purukushani gani! ugomvi? fumanizi? au marehemu alitaka kutumia advantage against kamwili kadogo ka lulu comes lo!lo!

Angetumia advantage ya mwili wake asingikuwa marehemu!

Hivi suppose Lulu was agry n in her late forties angepata sympathy kama anavyozipa now?

Are you a father? Kama u r not, kwa muda fikiria hali ambayo angekuwa nayo mama yako baada ya kupokea taarifa ya kifo chako wewe kijana wake ambaye hata mjukuu hujamuachia!

Lulu has a case to answer, l am positive hakufanya makusudi, na huenda alimsukuma wakati anajiokoa na kipigo na vyombo vya sheria vitafigure that out!
 
mungu hadhihakiwi..hata hivyo poleni wafiwa...pole Lulu na nduguzo na zaidi R.I.P SK
 
Mdogo wake kanumba anasema ali slide,Inaonekana chumba hicho kina tiles.Alafu pia jamaa alikua ametoka bafuni.Kwa hio lazima miguuni kutakua na majimaji au unyevu fulani,Kuteleza ni rahisi.Ukiteleza na kuangukia kisogo ni rahisi sana kufa usipopata huduma haraka.Mimi nilishawahi kuteleza bafuni nikaangukia kisogo ,nikawa nimezimia.Niliwahishwa hospitali ikawa salama yangu.Kanumba kuna uzembe umefanyika kutokumwahisha hospitali.

Namwonea sana huruma LULU.Mungu atamsaidia

ndio maana kuna saa huwa unacomment kama chizi humu ndani, kumbe ulishawahi kupata mtikisiko wa ubongo? ni maradhi kawaida, pole!
 
“Nimeanza kufunga tangu Februari 22, mwaka huu, hivyo sitarajii kwenda sehemu za starehe hadi nimalize kipindi hiki cha Kwaresma.“Mwaka huu nina malengo mengi ninayohitajika kuyatimiza, hivyo lazima nimuombe sana Mungu,' alisema LULU

Wana JM maneno niliyo Bold sina uhakika kama LULU aliweza kumaliza kipindi chote cha kwaresma bila kwenda kwenye starehe. My point tusipende kutamka na kuweka nadhiri kwa Mungu halafu tunashindwa kutekeleza matokeo yake ni mabaya sana bora kukaa kimya
Oh hapana, naomba kutofautiana nawe. Lulu alikuwa sahihi kabisa kujiwekea lengo bora, nalo ni la kudhamiria kutenda mema, kumrudia Mungu wake na kujitafakari kipindi chote cha Kwaresma. Kushinda na kushindwa ni sehemu ya ubinadamu hata Mt. Paulo aliwahi kulalamika kwamba mara nyingine alijikuta kutenda kinyume cha dhamira zake na Yesu mwenyewe alishawahi kusema "Roho i radhi, lakini mwili ni dhaifu". Pamoja na kushindwa alikuwa na nia njema. Tena isitoshe kama mmoja wetu alivyomkebehi humu kwamba alibakiza siku moja tu! Je hizo siku thelathini na ushee kama alijizuia zitapotea tu?
 
Muhimu pia ni kuhakikisha mapolisi wasije mtia mimba maana hao na ngono ni balaa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom