Lulu "Second Murder Case" au?

Tuwekee hayo mashtaka. Mimi sijaona ni wapi kashtakiwa, najuwa kuwa mpaka sasa kazuiliwa kusaidia uchunguzi wa kifo.
 
Wanasheria, tunaomba muongozo wa hii kesi ya Dogo Lulu,je anashitakiwa kwa kuua moja kwa moja au kuchangia kifo? Maaana mpaka sasa ni kizungumkuti, nimesoma hii taarifa inaonesha anashitakiwa kwa kuua.
Hakimu ambembeleza Lulu mahakamani

kwani wewe ulivyosikia amesomewa shitaka gani. alafu hamana kitu kinaitwa second murder case kwenye sheria. its either first degree murder ambayo hapa kwetu ndio kuua kwa kukusudia au second degree murder ambayo ni kuua bila kukusudia.
 
Sina hata la kusema na muonea huruma jamani she just 16yrs and she has the case to answer what exprience she undergo may our god help her.
 
kwani wewe ulivyosikia amesomewa shitaka gani. alafu hamana kitu kinaitwa second murder case kwenye sheria. its either first degree murder ambayo hapa kwetu ndio kuua kwa kukusudia au second degree murder ambayo ni kuua bila kukusudia.
Jamaa wewe wa ajabu kweli, mi ni mhasibu siyo mwanasheria!!! Kanye mavi ulale!
 
[h=2]"Second Murder Case"??????????????? Vp ameua tena?????????, hopefully ulitarajia kuandika second degree murder case. Otherwise sentensi yako haileti maana iliyokusudiwa.[/h]
 
Nadhani kwa sasa ni mapema sana kusema chochote; kama kawaida katika kufuata taratibu hakimu lazima asome/atoe mashitaka kwa mtuhumiwa ndio kesi ianze, vinginevyo hakuna mashitaka hakuna kesi.
Tusibiri kesi ikishaanza na hasa kuwa makini na upande wa utetezi utasema nini na mwitikio wa upande wa mashitaka
Pia zingatia kuwa kwa Lulu kuwa mahabusu pia ni usalama wake kuhofia watu wengine kujichukulia sheria mkononi
 
Mimi sijui kwa nini kisutu hawaruhusiwi kusikiliza na kuhukumu murder,kwa sababu kesi za sex mara nyingine zinahusu mauaji. Kwa hiyo inaleta imbalance katika akili ya hakimu ukitengamanisha sex and murder. Hawa wote ni criminal lawyers. They know what murder is. Ingekuwa vizuri kama murder case ingesikilizwa na kuhukumiwa,halafu ipelekwe high court. Kwani nchi nyingine wanafanya vipi?
 
sidhani kama inahitajika kuwa mwanasheria ili kujua kichwa cha hii habari kina mushkeli, kuwa mstaarabu tu mkuu
Sasa wewe Dr na Cr zitajua wapi mambo hayo ya degree, mi nimelisikia tu hilo neno kutoka kesi ya George Zimmerman aliyeshitakiwa kwa hiyo hiyo second... sasa alipaswa aseme tu kuwa mkuu kisheria inaitwa hivi... na siyo kuæø.
 
Murder one or murder two?

Na kama uchunguzi haujakamilika (ambayo ndiyo ilikuwa sababu ya kupangiwa tarehe ingine ya kesi kusomwa) iweje wamsomee shitaka la kuua?

nyie wa2 mmesoma sheria za wapi? That's a procedural req. Unafkr wangempandsha wakampgia mzk? Halaf mnafkr atasomewa nn zaid ya murder? Utetez wake ndo utaleta lesser offence..nyie nadhan ndo wenye G.P.A za 4.8...halafu hamjui hata confension ni nn.
 
Back
Top Bottom