Lulu kuachiwa kwa Nolle

Kassim Awadh

JF-Expert Member
Mar 12, 2012
884
187
Elizabeth Michael@Lulu ataachiwa huru kutoka kesi inayomkabili ya mauaji ya aliyekuwa mpenzi wake marehemu Kanumba. Kwa taarifa toka chanzo cha ndani sana,,Serikali imeamua kumsaidia/kumbeba kutokana na mazingira ya kifo chenyewe haswa kutosababishwa na men's rea ya mtendaji ambaye ni lulu na haitakuwa jambo la ajabu cause ilishafanya hivo hata kwa Ditopile(Rip). Kinachofanywa sasa ni kubuy time tu kabla ya DPP ku Nolle Prosecue. Malumbano haya ya umri,kukosekana kwa ushahidi wa moja kwa moja na ama hoja ya kuua bila kukusudia ndiyo utakuwa mwanya wa mbeleko.
 
Haka katoto wacha kapigwe mvua kadhaa kajifunze kaache tule tutabia twake tuchafu. Kakijifunza kataconcentrate na mambo ya maana katika maisha yake. Haka kasichana kakifungwa itasaidia tusichana twingine kuanza kuogopa kuingia kichwa kichwa kwenye mambo ya kikubwa!
 
wacha tu achiwe maana marehemu nae alichangia kujipelekea kufa hakukua na sababu ya kufungiana chumbani na kukatandika na panga katoto kadogo kama haka, agekachapa vibao na kufukuzilia mbali tu,ila alikakuza na kukafaidi mwenyewe.
 
men's rea sawa lakini Nole haipo ndio sababu kuna murder na manslaughter,kama aliua bila kukususdia ni manslaughter na kuna sentense yake japo ndogo,lakini kama ni serikali ina mpango wa kumuachia kwa Nolle basi wote waliowahi kufungwa na wenye kesi za nature ya Lulu waachiwe.There is a case to answer suala la men's rea etc ni mitigation yake kupunguza sentence
 
Hiki kitoto kikitoka kitaconcentrate na mambo ya dini halafu katakuwa kamejifunza heshima kwa watu wote.
 
Kwa hiyo sheria ipindishwe kwa ajili yake??
who is serikali and why soo!
haya ndo yaleyale ya kusamehe mafisadi
wezi wa power window wakichomwa ama kufungwa!
 
DISLIKE :nimekataa

Haka katoto wacha kapigwe mvua kadhaa kajifunze kaache tule tutabia twake tuchafu. Kakijifunza kataconcentrate na mambo ya maana katika maisha yake. Haka kasichana kakifungwa itasaidia tusichana twingine kuanza kuogopa kuingia kichwa kichwa kwenye mambo ya kikubwa!
 
Kwa hiyo sheria ipindishwe kwa ajili yake??
who is serikali and why soo!
haya ndo yaleyale ya kusamehe mafisadi
wezi wa power window wakichomwa ama kufungwa!

Kama unayajua haya then hakuna cha kushangaa kwa hili litakalotokea kwa huyu binti,, ushaona wapi mwizi anaambiwa rudisha ntakusamehe,ulitegemea waziri anayetuhumiwa kwa ubadhirifu with proof ya kumiliki majumba yasiyolingana na kipato chake muda wote wa utumishi aishie tu kutemeshwa uwaziri?
 
Elizabeth Michael@Lulu ataachiwa huru kutoka kesi inayomkabili ya mauaji ya aliyekuwa mpenzi wake marehemu Kanumba. Kwa taarifa toka chanzo cha ndani sana,,Serikali imeamua kumsaidia/kumbeba kutokana na mazingira ya kifo chenyewe haswa kutosababishwa na men's rea ya mtendaji ambaye ni lulu na haitakuwa jambo la ajabu cause ilishafanya hivo hata kwa Ditopile(Rip). Kinachofanywa sasa ni kubuy time tu kabla ya DPP ku Nolle Prosecue. Malumbano haya ya umri,kukosekana kwa ushahidi wa moja kwa moja na ama hoja ya kuua bila kukusudia ndiyo utakuwa mwanya wa mbeleko.

ngoja tuone itakuwaje..
 
wacha tu achiwe maana marehemu nae alichangia kujipelekea kufa hakukua na sababu ya kufungiana chumbani na kukatandika na panga katoto kadogo kama haka, agekachapa vibao na kufukuzilia mbali tu,ila alikakuza na kukafaidi mwenyewe.

hii nchi ina wapelelezi wa kujitegemea wengi!. Kumbe jamaa alimpiga kwa panga?
 
Back
Top Bottom