Lulu kamtaja Ali Kiba ndiye aliyempa lift baada ya ugomvi wake na Kanumba

jamani si kweli kwa mujibu wa Ally kiba alipohojiwa na fetty kupitia kipindi cha XXL leo mchana. alisema siku hiyo tukio limetokea alikuwa coco beach na yeye alizipata kupitia kwa watu na hakuamini na ndipo akampigia lulu kwakuwa ndiyo namba pekee ya wanasanii wa kuigiza aliyokuwa nayo na kuzungumza naye ambapo alimwambia hajui anachojua ni kwamba kanumba anaumwa. tuwe makini kwa hili JF ni sehemu ya kufundisha na kutoa habari za uhakika si za udaku!!!!!

Kidude cha Aksante sijakiona naomba nimekugongea cha 'like' pia sijaridhika, chukua thank u hapa.
 
sasa na ww umeona kuna kitu cha kuumiza kichwa hapo?...iyo post ww unaona inathink gret?...acha watu wawe huru...actually huo muunganiko na alivoweka hao wasanii hapo mimi naona babkubwa tu!..ww ungeweza ivo?...watu wengine mko serious mpaka mnapitiliza...

Na wakati tumeambia maisha tuyachukulia kawaida tu. Sijui amekasirika nini sasa.
 
Ally kiba hata kama ndy aliyempa lift LULU yeye hahusiki hapo...tukio limetokea kwa KANUMBA na wapo watu 3 tu ....KANUMBA,,LULU na MDOGO WA KANUMBA,,,sasa KIBA anahusishwa na nn hapo?basi akamatwe na MUUZA VOCHA aliyemuuzia vocha LULU....tukio limetokea nyumbani kwa KANUMBA ,,tena chumbani ...wanaohusika waliokuwapo...
 
Back
Top Bottom