Lulu kamtaja Ali Kiba ndiye aliyempa lift baada ya ugomvi wake na Kanumba

tayari kifo chake kimeleta mabadiliko kwa baadhi ya wa tanzania.
Kuna aliekunywa sumu ya panya huko misugusugu
kuna alieachika shinyanga

umeshhau kuna motot wa kanumba ameonekana shinyanga analetwa alhamisi na mie ntakuwa basi kituoni kusubiri anafanana si mchezo
 
The great kwa lipi,ngono za kijanga,ulevi na kuwapotosha watanzania?Mtaita the great hata mavi.Ovyo sana.
Watu wengi watahojiwa kuhusiana na kifo cha The great.lulu amtaja ali kiba ndiye aliyempa lift kutoka kwa marehemu kanumba.
 
Mmh!! 1)Kwa nini amuulize Lulu?
2)Aliaminije kuwa Lulu ndiye pekee anayeweza kumhakikishia kuwa Kanumba kafariki.
3)Kwa nini Alikiba afiche hadi ahusihwe ndio atoe maelezo haya?
Nafikiri ingawa source si cha uhakika lkn kuna issue ya kufanyiwa utafiti hapa.


1.ndiyo namba pekee ya msanii wa kuigiza aliyonayo.
2.hakuamini hata yeye kwani lulu alimwambia anavyojua yeye ni kuwa kanumba anaumwa na si kafa.
3.hakuna aliye muuliza kabla mpaka fununu zilipojitokeza.

Japo pia ni kweli kuna la ziada kama ni lalazima kulijua na endapo yanatuhusu.
 
na komba kweli hana akili
hivi hawezi kujua kuwa simu ya lulu inatumiwa na makachero
ili kupata mambo wanayoyataka.

sms za Captain John Komba(mb) zimekuwa zikimiminika kwenye cellular ya Lulu, anadai Lulu asiwe na wasiwasi atamsaidia kumaliza kesi.
 
...muendelezo wake si ajabu ukawa hivi: baada ya kupanda gari lilipata pancha pale BP, Cabo Snoop ndiye aliyepiga jeki, Akon akaziba na supagluu kutoka kwa Chameleon. Lakini gari likazimika, DJ Cleo akawapa waya wa boost... Barnaba akasema haufai ...

hii ndio jamii forums...nimeshazoea kucheka kwa kupayuka hata kama niko mwenyewe...lmao!..
 
Kwa hiyo na wewe ni Great thinker¿ Au gret tanker? Watu wanatoa habari halafu nyinyi mnaleta jokes za kibongoflavour humu.nendeni mkauze sura face book pls

sasa na ww umeona kuna kitu cha kuumiza kichwa hapo?...iyo post ww unaona inathink gret?...acha watu wawe huru...actually huo muunganiko na alivoweka hao wasanii hapo mimi naona babkubwa tu!..ww ungeweza ivo?...watu wengine mko serious mpaka mnapitiliza...
 
Nilisikiliza mahojiano ya ali kiba alipoongea na kile kitoto kinaitwa fetty cha Cloudz redio. Kiba alisema wakati wa tukio yeye alikuwa beach ndo akasikia habari ya kifo cha kanumba.

Alisema baada ya kusikia hivyo akaamua kumtafuta lulu kumuuliza juu ya stori inayosambaa juu ya kanumba.Anasema alimtafuta lulu kwa sababu ndiye msanii pekee aliye na namba yake. Akasema lulu alipokea simu na kuongea kama mtu aliyechanganyikiwa.

Baada ya hapo alimpa kampani ya kumpeleka hom.

Kiba akaendelea kusema kuwa siku ya pili mapema asubuhi alikwea pipa na kwenda nje ya nchi ambako alikuwa na shughuli zake.

Kwa mtazamo wangu naona kiba ni mshukiwa 'suspect' wa 3 (nyuma ya lulu na mdogo wa marehem).Na navyofaham kwa wapelelez makini hawawez kumwachia kiba hivihivi lazima wajiridhishe (sana) km hajahusika kwa namna yoyote kabla hawajamwachia.

Siku zote wapelelez wanaamini hakuna mshukiwa anayeweza kukubali kosa kirahisi,na uzoef unaonyesha washukiwa walio wengi wanapenda kutoa maelezo yanayowaweka mbali na eneo la tukio 'alibi'. Sisemi km kiba anahusika na hili ila nachosema kuna hali km hiyo kwenye hii ishu ilotokea.
 
Batanzania bana kigogo kigoo basi atajwe ajulikane na uchunguz uendelee kwake, mambo gani bana
 
Back
Top Bottom