Lulu Jamani Lulu

Peter Kibatara ambaye ni mmoja wa wanasheria wanaomtetea lulu ni mwanasheria wa chadema pia, kumbuka ndo alikuwa anamtetea mpendazoe kule kwa makongoro mahanga, atakuwa ndiye alompa huo mkoba,
 
Huyu mtoto akitoka lazima atatengeneza movie ya life time kwa mawazo yangu maana watu wanatarajia mengi toka kwake ila asikurupuke tu.....
 
Kama kawaida ya vigeugeu leo kisa kimkoba cha kwao kawa mzuri, hebu pekueni kuna uzi unasema lulu anataka kwenda UK kumfata Justin bieber ili muone unafiki wenu vigeugeu nyie

Mimi ni CDM ila pokea LIkE!!!
Apo majembe yameteleza kidogo
 
ahame chama cha presidar wake aliyemporomoshea mjengo kimara, nyumba itakwisha kweli??? mambo ya peramiho na kati ya songea! chezeiya mheshimiwa mbunge weye?? kazi ipo wallah! ila katoto mashaallah!

Umeonaaa eeeeh ila hata ungekuwa wewe usingetaaa hizo offer aisee zinatega sana
 
ahame chama cha presidar wake aliyemporomoshea mjengo kimara, nyumba itakwisha kweli??? mambo ya peramiho na kati ya songea! chezeiya mheshimiwa mbunge weye?? kazi ipo wallah! ila katoto mashaallah!
Heheheeee katoto mwamwamwamwaaaa lol ila wacha kale joto ya jiwe kwanza
 
[SUB][/SUB]Inajulikana kwamba mwanamke huuchosha mwili kwa kuwa na wanaume zaidi ya mmoja. Kwakukaa jela amerudisha mg'ao wa ngozi na urembo. Nahisi hii kwake itakua si tu ni fundisho bali a blessing in disguise. She could have expired by now with a supersonic speed she was moving with....
 
Naamini huu nao ni mpango wa Mungu katika kubadilsha maisha yetu na ipo siku atatoka na atakua lulu mpya

Namtakia uvumilivu na ustahimilivu Lulu
 
[SUB][/SUB]Inajulikana kwamba mwanamke huuchosha mwili kwa kuwa na wanaume zaidi ya mmoja. Kwakukaa jela amerudisha mg'ao wa ngozi na urembo. Nahisi hii kwake itakua si tu ni fundisho bali a blessing in disguise. She could have expired by now with a supersonic speed she was moving with....

mi nashangaa kila kila nikimuona kabadilisha nguo na mtindo wa nywele. Hiv rumande kuna salun na maduka ya nguo?
 
lulu+mahakamani.JPG

Usijali utatoka 2.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom