Lulawanzela kuanza kuandikia Mwananchi Jumapili!

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,474
39,987
Nasikia milango inazidi kufunguka kuanzia j'pili hii Lula wa Ndali Mwananzela ataanzakuoneakana akiandika makala fupifupi za maoni, uchambuzi, hoja n.k kwenye Gazeti la Mwananchi Jumapili. Msikose

Habari ndiyo hiyo!!
 
angalau akaungane na kina Semtawa , Mabala na wengine kuendelea kutujuza na kutufungua macho kwa hiki na kile ktk harakati za ujenzi wa Taifa, ila nikinunua gazeti la Mwannchi Jumapili nahisi kumkosa sana Prof Leonard Shayo, mwalimu wangu wa Maths pale UDSM , Rest In Peace.
 
Nasikia milango inazidi kufunguka kuanzia j'pili hii Lula wa Ndali Mwananzela ataanzakuoneakana akiandika makala fupifupi za maoni, uchambuzi, hoja n.k kwenye Gazeti la Mwananchi Jumapili. Msikose

Habari ndiyo hiyo!!

Mzee kuna tetesi kuwa Lula wa Ndali Mwananzela (anayetoa makala kweney gazeti a raia mwema) na mwanakijiji (anayetoa makala gazeti la mwanahalisi) ni mtu yuleyule. Kuna ukweli wowote mkuu au ni story za vijiweni tu. All in all makala za Lula na mwanakijiji huwa nazikubali.
 
What if Lula= MMKJ?Haahaaa, this is just what I think. But all in all, both convince me with their writings.
 
Mzee kuna tetesi kuwa Lula wa Ndali Mwananzela (anayetoa makala kweney gazeti a raia mwema) na mwanakijiji (anayetoa makala gazeti la mwanahalisi) ni mtu yuleyule. Kuna ukweli wowote mkuu au ni story za vijiweni tu. All in all makala za Lula na mwanakijiji huwa nazikubali.

mimi naona wewe ndio umetuletea tetesi acha nami nianze kufuatilia hizo tetesi, lakini MKJ YUPO , KWANINI ASIJIBU nakutuondolea blah blah za hisia
 
what if lula= mmkj?haahaaa, this is just what i think. But all in all, both convince me with their writings.

hamna ubaya mzee.tetesi hiyo ilishawahi kufananishwa sana na jamaa mmoja anayejiita kisisina wa zimbabwe kwenye gazeti la tanzania daima.bado sioni ubaya,tabu ni nini?news ni news tu,au vipi bob ndahani
 
ambacho mimi najua, watu hasa WaTz tunatabia ya kuingia kwenye mapenzi na waandika makala, si jambo baya. watu hawasomi makala zingine zenye majina ya watu wasio maarufu, mfano wakati Zitto Kabwe anatumia ID yake hiyo, kila post ilikua inachangiwa na mamia ya wachangiaji, lakini kuna ID anatumia sasa , hata akipost hoja nzito wachangiaji siwengi, Lula awe MKJJ ama nani swala ni nini Lula anaandika, swala kuna mantiki katika yale anayoaandika ama laah, tusijibane sana katika kusoma machapisho ya watu walewale, miaka nenda rudi.
 
Back
Top Bottom