Lukuvi william ajiandaa kulamba nondo ya masters by thesis kutoka out

Maarifa

JF-Expert Member
Nov 23, 2006
4,568
2,911
Mh. William Lukuvi alkuwa katika kiti moto leo akitetea shahada yake ya uzamili kwa njia ya utafiti tu. Jamaa kama ni kutunza vitu kichwani amejitahidi. Maana alijibu maswali sawasawa bila kubabaika. Wengi walidhani amefyatua kutoka pahala Lakini inaoenekana ame cram vema sana. Na jopo la Maprof na madons wamepitisha verdict kuwa aifanyie marekebisho kidogo then awasilishe. Hivyo Graduation IJayo katika foelni ya OUT atakuwepo William Lukuvi atazamia hapo. Very reliable sources.
 
Hongera zake, so he will be more intelligent and tactful I hope..
 
Lets wait. Maana makaratasi kwingine na Kazi kwingine. At least anafuta aibu ya kile kitabu cha degree na award feki.
 
Afadhali Boss wangu wa zamani kajiendeleza aahhh walikuwa wakimsema sana kuwa ni Form IV
 
Back
Top Bottom