Lukuvi: Tanzania inafanya vizuri kuliko hata inchi za dunia ya kwanza, na ......

Ni kweli Tanzania inafanya vizuri zaidi hata ya nchi za dunia ya kwanza katika nyanja zifuatazo:
1. Wizi
2. Kuongeza umasikini na kupunguza utajiri
3. Kutoa kauli
4. Kununua magari ya kifahari
5. Kuadhibu wezi kwa kujiuzulu
6. Kuharibu madawa ya binadamu wakati hospitali hazina dawa.
7. kutmia 700mil katika trade fair
8. Twiga kupanda ndege
9. Raisi kufungua ofisi angani
10. Rais kufanya kazi za mabalozi
11.........
ongezeni
 
Wapi kainelugaba msemakweli? Lukuvi shule ndogo std 7 kuwa waziri c mchezo tz zaidi ya uijuavyo,angesoma hata 4m 4 asingeweza kuongea hzo pumba.
 
Back
Top Bottom