Lukuvi kuwakataza wabunge CCM kusaini hii imekaaje?

mwandiga

JF-Expert Member
Dec 5, 2011
1,506
661
Kama kweli lukuvi alimuita Filikunjombe na kumwambia asisaini kwenye kura za kumtoa pinda kwenye jambo la manufaa kwa watanzania atakuwa amewakataza na wabunge wengine wa ccm. Hivi huyu lukuvi ana tofauti gani na kina ngeleja? Yeye yuko bungeni kwa maslahi ya nani? Hivi hana machungu na maisha ya watanzania? Anaona raha watanzania wateseke watu wachache wafaidi fedha zetu? Haoni aibu kuwatisha watetea fedha na maslahi ya watanzania? Huyu bwana afanyejwe?
 
Anajua kabisa na yeye ni mchafu hili rungu litampitia ndo maana anafanya juu chini ili hilo jambo lisitokee ikiwemo na vyeti vyake bandia
 
Kama kweli lukuvi alimuita Filikunjombe na kumwambia asisaini kwenye kura za kumtoa pinda kwenye jambo la manufaa kwa watanzania atakuwa amewakataza na wabunge wengine wa ccm. Hivi huyu lukuvi ana tofauti gani na kina ngeleja? Yeye yuko bungeni kwa maslahi ya nani? Hivi hana machungu na maisha ya watanzania? Anaona raha watanzania wateseke watu wachache wafaidi fedha zetu? Haoni aibu kuwatisha watetea fedha na maslahi ya watanzania? Huyu bwana afanyejwe?

Sehemu niliyobold ni kweli Lukuvu alimuita Deo Filikunjombe asisaini lakini jembe lilisaini kabla ya kwenda na kumpasha Lukuvu sahihi yake ni wana Ludewa ambao ndiyo waliomleta bungeni na si Lukuvi.

Lukuvi akabaki kushangaa mimacho kodoooo kama mjusi aliyenanwa na mlango!!!

Lukuvu hana tofauti na mwanga maana anamulika demokrasia ya wabunge wake mchana usiku huyu atakuwa ni balaa kabisa.
 
ni kazi yake hiyo.... kumbuka na yeye ni waziri na kuna collective responsibility
 
elimu ni kitu kizuri sana mheshimiwa lukuvi ni jamaa anayevuluga sana mkoa wa iringa,huyu jamaa ndiye alisababisha kandoro ashindwe kula za maoni kusudi aje apate uwaziri yeye tunajua sana.kwanza ni mb ambaye jimbo lake linaongoza kwa njaa,pia ni jamaa anayehonga sana wakati uchaguzi.pia ni mmbeya sana yaani anakihelehele sana.kama hamtaki angalieni bunge.yote hiyo hana elimu ya kuchambua mambo,uwazili wenyewe kapewa tu kama asante kwa ajili ya........mkubwa wa nchi
 
ni kazi yake hiyo.... kumbuka na yeye ni waziri na kuna collective responsibility

Nlikuwa sijui kama jk ana msaidizi (waziri) wa kutetea ushenzi, uozo, ufisadi, uhuni unaofanywa na wasaidizi wake! Hivi nafsi haimsuti? Au kwa kuwa anauzoefu wa kutumia vyeti bandia? Kama ni hivyo jk amempatia nafasi hiyo. Ila ipo siku yake atajutia kufurahia rasilimali za watanzania kuliwa na mafisadi na We mwenyezi Mungu niwezeshe niwepo nishuhudie
 
Subiri come 2015 he wiil be out in the cold and nothing to save except certificate of primary education.
 
Lukuvi ni kama haijui safari yake ****** hanaga hiyo ye wacha ajipendekeze kwa hasara ....dah..ila kikwete nae noumer aisee sijui hata kajiandaaje kwa litakalotokea maana akifanya masihara hii mambo inaweza kumgharimu kwa kiwango hata asichowahi kukiwaza aisee.
 
Back
Top Bottom