Lukuvi ana bifu ya uchaguzi na Msigwa

mnyikungu

JF-Expert Member
Jul 26, 2009
1,960
2,464
Wadau nimelishuhudia bunge la leo nikauona mnyukano kati ya Lukuvi, CCM na Msigwa. Ukweli ni kwamba Lukuvi hakuwa na chochote cha kuzungumza mda ule ila hasira za uchaguzi ndo zimemfanya azungumze ule ujinga wake.

Wakati wa uchaguzi Lukuvi alitoka isimani akaja kupiga kambi Iringa mjini kuisaidia CCM na mama Mbwiga wake, jamaa alijiona ni maarufu sana Iringa eti angeokoa jahazi la CCM lisizame lakini kinyume chake walidondokea pua licha ya juhudi za kuchakachua kushindikana. Toka siku ile Lukuvi hana hamu na Msigwa na ndio maana jamaa anajitahidi kumpinga kila anapopata nafasi.
 
Msigwa ni mwiba kwa Lukuvi - maana Msigwa ni wa kutoka upinzani pekee kati ya wabunge wachaguliwa katika RCC ya Iringa
 
Lukuvu kaanza kujimaliza na yeye ameingia kwenye ngonjera duuh naona magufuri tu ndiye atabaki salama ktk magambazi club!
 
Kama ni kweli basi hajui siasa, haina maana kupinga kitu ambacho ni kweli kwa kuwa tu kimetolewa na mtu aliyekushinda kwenye uchaguzi, ndio maana tunakwama kuendelea.
 
Mtoto wa miaka 10 anapofanya mambo yanayofanana na yale anayofanya mtoto wa miaka 2. !!!!!!!! Hii kali , nimeipenda sana.
 
wadau nimelishuhudia bunge la leo nikauona mnyukano kati ya lukuvi, ccm na msigwa. ukweli ni kwamba lukuvi hakuwa na chochote cha kuzungumza mda ule ila hasira za uchaguzi ndo zimemfanya azungumze ule ujinga wake. wakati wa uchaguzi lukuvi alitoka isimani akaja kupiga kambi iringa mjini kuisaidia ccm na mama mbwiga wake, jamaa alijiona ni maarufu sana iringa eti angeokoa jahazi la ccm lisizame lakini kinyume chake walidondokea pua licha ya juhudi za kuchakachua kushindikana, toka siku ile lukuvi hana hamu na msigwa na ndio maana jamaa anajitahidi kumpinga kila anapopata nafasi.
crap from crapist.
 
lukuvi ni mmojawapo wa wale magamba wanaotumia makamasi kufikiri, so usishangae wanapotapika nyongo zao mjengoni, coz sumu waliokunywa inafanya kazi ya kuwaua taratiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiibu.watapotelea mbali kabisa
 
Wakati moto wa Pinda kulidanganya Bunge haujazimika, Lukuvi anawasha moto mwingine eti anataka ushahidi kuwa serikali yake inauwa raia wake. Kilaza mwingine naye badala ya kuyeyusha tu yaishe, eti anaomba ushahidi wa maandishi!
 
alikuwepo yule enzi zile za Beni alikuwa anaitwa mr. ZERO nafikiri alikuwa anaonewa tu, ila Lukuvi ndo Mr. 0 kabisaa ! hili nalo kwa mtu makini linahtaji ushahidi ?
 
Huyu jamaa kweli ana hamu ya kujiabisha. Anataka ushahidi wakati sote tumeona mauaji ya arusha, na tumerekodi au anataka kusema polisi sio watumishi wa serikali ya jk?
 
Huyu jamaa anapenda mipasho sana,
mdomo wake anavyoubetua tu utagundua kua taarabu, miduara na kibaukata vya bongo vimemuharibu kipindi yupo kama RC
 
lukuvi ume unafikiri. acha kukurupuka! Utahaibika msigwa sio mjinga. Anaongea kwa kile alichokiona.
 
Back
Top Bottom