Lukuvi akipata kikombe kwa babu loliondo picha

kilimasera

JF-Expert Member
Dec 2, 2009
3,068
268
mheshimiwa lukuvi akigonga kikombe cha uzima kwa babu loliondo

198092_191516467550802_100000773500533_417991_4735646_n.jpg
 
kakunja uso, dalili ya imani haba

pembeni ndio mkewe au? hii ya lini?
 
Tuna wagonjwa wengi serikalini ndio sababu hawawezi kutatua matatizo ya wananchi .... ... pengine safari za India zitapungua. Sasa angalia hiyo nyumba ndiyo nyumba za watanzania hizo halafu wanawaajiri ati ma-exparts ambao wanalipwa na pesa za walipa kodi kukaa mahotelini ... ... ... hiki kiinchi kinanuka rushwa.​
 
hahaaaa wizi mtupuuuuuuuuuu

Endeleeni kutuwekea picha za wakuu. Picha ya Pinda sijaiona. Kesho yupo hapa Moshi. Labda atakuwa niani kuelekea Loliondo
 
Hivi mtu kama Lukuvi naye analipa 500 tu? (hasa hasa ukiangalia hali ya kibanda cha Babu)
 
wataenda wengi sana hata obama na bush watakuja na akina clinton lazima waje huu ni muujiza ambao mungu ameleta kwenye taifa dogo hili lakini ni jambo la kujihoji kila mmoja je sumu imegeuka kuwa tiba...acheni aitwe yesu acheni aitwe mungu afananishwi kitu chochote kile
 
Back
Top Bottom