Lukuvi aandaliwa kuanzisha rafu chafu za kisiasa

Henry Kilewo

JF-Expert Member
Feb 9, 2010
899
1,084
kutokana na taarifa zilzo toka tume ya uchaguzi na nyaraka zake kutumwa kwenye vyama vya siasa nchini kuhusu ushiriki wa vyama vya siasa kwenye daftari la kudumu la wapiga kura ambalo dar ni 22 march mpaka 27 ikisema ya kuwa vyama vya siasa ni wadau wanapaswa kushiriki kuhamasisha jamii kwenda kujiandikisha, imekuwa ndivyo sivyo kwa mkuu wa moa huu wa dar kuanza upuuzi na kupuuza maagizo yatume kwa kukutana na chama kimoja cha ccm na maafisa watakao tumika kuandikisha wakazi bila kuita vyama vyote vya siasa kama ambavyo tumeiliagiza, tanzania bila kuin'goa cchatufiki kwa rafu zake wanazo cheza, watanzania tuchukueni hatua ccm basiiii wakoloni weusi mungu walaani ccm ibariki tanzania bila ccm
 
Hivi Lukuvi kafanya hivyo kama mkuu wa mkoa au ana cheo fulani ndani ya CCM? Huu ni udhaifu mkubwa kwenye sysytem,kama tungefuata nidhamu za kidemokrasia basi huyu mkulu angestahili adhabu kama kafanya hivyo kweli
 
kafanya kama mkuu wa mkoa kisheria anpaswa kuitisha vyama vyot vya siasa, ila amekiuka kwa kutetea maslahi ya ccm kwakuwa alikuwa anatambua ya kuwa vyama vya siasa vikiwepo kwenye kikao hicho havitakubali upuuzi
 
acha utoto, kuna watu wenye kufikiriri vyema humu, hoja yako sawa lakini usiwe na weak conclussion
 
kwa wenye upeo mfupi wa kufikiri kama wewe, msiyo taka kuumiza kichwa
 
kafanya kama mkuu wa mkoa kisheria anpaswa kuitisha vyama vyot vya siasa, ila amekiuka kwa kutetea maslahi ya ccm kwakuwa alikuwa anatambua ya kuwa vyama vya siasa vikiwepo kwenye kikao hicho havitakubali upuuzi
labda kapewa maagizo na wakuu afanye hinyo? maana yeye binafsi sidhani kama anauwezo huo, kama ni kweli basi hizo ni njama kama ni njama basi si peke yake njuma kuna wengine.
 
Back
Top Bottom