Luhanjo: Marufuku viongozi wa upinzani kualikwa kwenye mahafali sekondari

nasikia kuna jamaa alienda kutoa posa kwa luhanjo....
alipoulizwa chama na kusema cdm, ukawa ndo mwisho
wa mazungumzo na jamaa kuondoka na butwaa
 
haka kazee vp? Sasa hao wa upinzani sio watanzania?kwani kwenye gradu wanapreach sera za vyama vya siasa.me naona huyu mzee anataka kutugawa sasa.
 
Ya luhanjo nayo yanakera,bado tu anaona la Jairo halikututosha?
Anajiona promoter wa ngumi wa USA-Don King kwa hizo mvi zake,ajue ya kwamba sauti ya umma husikika hata kwenye miamba.
 
Philemon Luhanjo amemtaka mkurungenzi wa Halmashauli Njombe na watendaji wote wa serikali kudhibiti wapinzani kualikwa kama wageni rasmi

Kiongozi yeyote ni mwakilishi wa wananchi. akitengwa ni wananchi wametengwa. serikali ni ya wananchi.
Hawa viongozi nani kawaloga?
 
Huyu mzee anazeeka vibaya wakuu,maana kauli anazotoa kipindi hiki ni uharo sana....si ndio huyu aliyetoa kauli kwa madaa ya kumsafisha Jairo...baadae ikagundulika kaharisha mbele za watu?

jifunze kutumia tafsida ndg.
 
Hii inatokana na viongozi wetu wengi kuamini kwamba wameumbwa kutawala hadi wafe. Huyu babu kapitisha umri wa kustaafu bado anang'ang'ania majukwaa unategemea nini? Ubongo wake umepoteza uwezo wake wa kufikiri sasa anatumia Masaburi! Kweli mvi sio kipimo cha hekima.
 
hujui kwamba huyo ndo mwenye maamuzi,hata mgawo wa umeme pia mh kazi tunayo kiongozi ndiye adui wa kwanza kwa TAifa.
 
Hebu fikirieni watu wenye akili kama za Luhanjo ndio wapo ikulu wanamshauri; it is real dangerous for our emerging democracy.

Sasa nimeelewa kwanini jk anaonekana kama is a joke kwa sababu ya watu kama ambao wana fikra na mawazo ya itikadi za ki imla za chama kimoja wameshapitwa na wakati.

Huwezi kuwajua mpaka wafungue midomo usikie kinachotoka midomoni mwao i feel sorry for jk kujizungushia watu kama hawa He has no body to blame but himself we gave him a power to fire outdated people, he chose not to exercise it .

Alhamsiki.

Naam, tatizo sio watu wanaomzunguka Kikwete bali ni Kikwete mwenyewe, lazima na yeye ni wa aina yao otherwise angejipambanua kwa kuwapiga chini na kuwaweka washauri makini.
 
Philemon Luhanjo amemtaka mkurungenzi wa Halmashauli Njombe na watendaji wote wa serikali kudhibiti wapinzani kualikwa kama wageni rasmi

kama KWELI Kasema basi nasema Philemon Luhanjo ni Mjinga narudia tena ni Mjinga!!!!!!!!!!!!
 
SAMMOSSES:Ukisikia fikra mgando ndo hizi,zamani watu wenye mvi walikuwa wanaheshimika sana kwa busara na hekima walizojaaliwa na mwenyezi Mungu,lakini siku hizi imekuwa negative.Hata kama kuna ombwe la uongozi ,na busara tena!!!!?Luhanjo usipend wajukuu zako wakucheke kwa kukosa busara.
 
Back
Top Bottom