Luhanjo: Marufuku viongozi wa upinzani kualikwa kwenye mahafali sekondari

Yaani hii nchi ina viongozi wa ajabu!!!Huyu mzee anazeeka vibaya, juzijuzi tu amejichanganya na kuzua tafrani kubwa kwenye sakata la Jairo; ambapo kwa maamuzi yake mabovu sasa serikali itapoteza mamilioni ya pesa kupitia tume iliyoundwa na bunge. Halafu viongozi wa aina ya Luhanjo wako wengi; juzi kati nimesoma kwenye gazeti moja kwamba DC wa wilaya moja aliamuru diwani wa upinzani atoke mara moja kwenye jukwaa kuu wakati wa maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru. Bahati nzuri mwenyekiti wa halmashauri hiyo (mwenye msimamo) akaamuru diwani asitoke kwani sherehe hizo ni za wote, kitendo hicho kikashangiliwa na wananchi wengi waliokuwepo na hivyo DC kubaki na aibu!!!
Philemon Luhanjo amemtaka mkurungenzi wa Halmashauli Njombe na watendaji wote wa serikali kudhibiti wapinzani kualikwa kama wageni rasmi
 
But who is Luhanjo?? Anajua majukumu yake ya kazi.
Watu kama hawa wanachangia kwa kiasi kikubwa Jk kudharaulika.
 
Kama i ivyo basi wapinzani wawahamasishe watu wanaowaongoza kutochangia michango ya shule
Au tuwe na shule za ccm na za upinzani!
 
Kwa hiyo tusimualike zito kabwe, dr slaa, pro lipumba, maalim seif, freeman, mch, msigwa sugu na wengineo kwenye mahafali yetu? Ubaya wao nini jamani viongozi hawa? Tuseme shule zote za bongo na vyuo ni mali ya ccm? Mzee tumia akili na busara zako kuongea usitufarakanishe kama mavi ya mbuz!
 
huyu mzee anatumia ****** kufikiri,samahani ila ni msemo unatumiwa na chama cha magamba
 
anatumia masaburi kufikiri,ya luhanjo hayajaisha anazua mengine ,kweli ****** kazi anayo kama watu anaowaamini ndio hovyo namna hii kwani asilaumiwe?
 
Kwa iyo tualike wa ccm tu ndo ruksa?...watasubiri sana.hapa nko kwenye graduation.tena ya dini,mgeni rasmi diwani wa chadema.
 
Philemon Luhanjo amemtaka mkurungenzi wa Halmashauli Njombe na watendaji wote wa serikali kudhibiti wapinzani kualikwa kama wageni rasmi


Jairocase(1).jpg

itakuwaje iwapo wananchi wenyewe ndio wamewaalika na barua inapelekwa moja kwa moja kwa mgeni mualikwa?
ataweza kuwadhibiti?
zee zima na mvi zake tulitegemea busara zitatoka pale kumbe ni sawa na sifuri (0)
 
Philemon Luhanjo amemtaka mkurungenzi wa Halmashauli Njombe na watendaji wote wa serikali kudhibiti wapinzani kualikwa kama wageni rasmi

Huyu mzee anazeeka vibaya wakuu,maana kauli anazotoa kipindi hiki ni uharo sana....si ndio huyu aliyetoa kauli kwa madaa ya kumsafisha Jairo...baadae ikagundulika kaharisha mbele za watu?
 
Hivi mnao uhakika gani kama ameyasema kweli?.Hata majungu mnachangiaaa duh ukyadema huu utatufanya tuwe vil.za.
 
Luhanjo anapanga kugombea Ubunge baada ya Kustaafu.Anataka arejee kama Mtetezi wa wana NJOMBE magharibi
 
Hebu fikirieni watu wenye akili kama za Luhanjo ndio wapo ikulu wanamshauri; it is real dangerous for our emerging democracy.

Sasa nimeelewa kwanini jk anaonekana kama is a joke kwa sababu ya watu kama ambao wana fikra na mawazo ya itikadi za ki imla za chama kimoja wameshapitwa na wakati.

Huwezi kuwajua mpaka wafungue midomo usikie kinachotoka midomoni mwao i feel sorry for jk kujizungushia watu kama hawa He has no body to blame but himself we gave him a power to fire outdated people, he chose not to exercise it .

Alhamsiki.

Luhanjo hakupaswa kusema hivyo hata kama kasinzia au hata akistafuu kazi, sijui nini? Labda uelewa mdogo au kujisahau ndani ya ofisi za Umma nakudhani ni mali zao binafsi!
 
Philemon Luhanjo amemtaka mkurungenzi wa Halmashauli Njombe na watendaji wote wa serikali kudhibiti wapinzani kualikwa kama wageni rasmi

Huyu Luhanjo anastaafu lini!, tumemchoka na hatumtaki.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom