Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,269
- 675
- Thread starter
- #21
Nadhani hamjamsoma jeykey nyie, huyu siku zote ni Jk.
Anachotaka kumaanisha hapa ni kumsafisha Jk kua alikua hana taarifa na aliyoongea Luhanjo.
Ukweli tunaufahamu, (watanzania tulishaamka) kua alikua anapima upepo. Wabunge, vyombo vya habari na wananchi wasingepiga kelele, Jk angekaa kimya. Baada ya kuona upepo unavyovuma, ikabidi ajisafishe kwa namna hiyo. All in all, seriali ya magamba ni Comedy tu, hamna kitu.
maamuzi yamefanyika RAIS WETU MPENDWA AKIWA HAYUPO OFISINI