Lugha za kuepuka pindi upandapo daladala.

Maana halisi ya neno inategemea mahali neno lilipozungumziwa, umri wa wazungumzaji na mahusiano baina ya wazungumzaji hao.

Na hapo neno litakapo zungumzwa ndio litazalisha maana ambazo zitaleta utata kutokana na kundi rika la watu hasa kama neno husika limekaa kisege mnyege.

Tatizo lililopo kwa sasa ni watu kushindwa kutumia maneno kwa kuendana na mazingira. Fikiria umepanda daladala na mama mkwe wako au mama yako halafu unatumia moja ya maneno hapo juu halafu konda kichwa maji akaanza kukuzingua! Unaweza kujikuta una rusha ngumi au ana kuharibia utulivu/ uhondo wa siku na safari yako.

Bora kuyaepuka maana hakuta kugharimu kuliko kuyatumia ukaleta zogo linaloweza kukuharibia siku.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom