Lugha Kali dhidi ya wakenya

Namtih58

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
235
46
Kutoka kujiunga na JF nimefurahia sana chemsha bongo ninazo zipata, umaarufu wa wana JF na ukarimu wenu.

Lakini hivi karibunu nimeshuhudia matumizi ya lugha kali dhidi ya wakenya humu imekidhiri.

swali langu ni hili. JF nia ni kuungana, kuelimishana, kukemea mabaya au ni kunyoosheana vidole, hivi tuki rundika watu fulani kwenye matabaka mbali mbali kama wezi, walaghai na hali kadhalika.

Ukweli kila mtu ana mapungufu, wengine zaidi ya wenzao. Sasa ikiwa tutajiinua tujione wasafi kuliko wenzetu sisi hatujakosa?

Kama tutamshutumu mtu basi mshutumu yeye kwa kosa alilofanya sio yeye dadake, kakake na jirani yake!
 
Nakubaliana na wewe kabisa. Hii tabia ya kurundika watu katika kapu moja bila evidence yeyote haifai na inaonyesha ufinyu wa watu kufikiri. Tunashukuru kwa nasaa zako, nadhani wachangiaji watazizingatia.
 
Back
Top Bottom