Lugha gongana

HP1

JF-Expert Member
Feb 4, 2012
3,362
874
Chawadika na Athuman Nyawanda walienda miembe mitano mtoni kuogelea. Chini ya mti wa msangala alikuwapo mzungu akila mafenesi. Ghafla Athuman akakamatwa na mamba na kumezwa. Chawadika akatoka mbio kwenda kuripoti kwa bosi wake.
bosi: where is Athuman?
Chawadika: yes yes yes mzungu kala mafenesi, look at chini ya msangala because miembe gwala kaja mamba kamsola na miguu yote finished
bosi:whaaat?
 
Mzungu:where is that place?

Chawadika:Go one by one then you bend the corner then you'll see a big tree there there!
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom