Lugalo sasa ni Hospitali ya Rufaa!

Hospital ya jeshi ya Lugalo imepandishwa hadhi na kuwa ya rufaa.
Source:TBC1

Hii itairahisishia serikali kazi ya "kuwashughulikia" wale wanaowapinga wanapokuja kuomba huduma, na sio mpaka wapelekwe Msitu Mabwepande. On a serious note: situmesikia mgomo umeisha? Na je wale madaktari 3000 wanaotoka nje hawajafika bado?
 
tunaipongeza hatua hiyo muhimu katika uboreshaji wa utoaji wa huduma za afya hapa tanzania
 
[h=6]breaking news;

lugalo yawa hospitali ya rufaa.

Sasa kupokea wagonjwa toka sehemu zote hapa nchini.

Mungu ibariki lugalo
mungu ibariki tanzania..[/h]
 
wenye wivu wajinyongeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Ni wakati muafaka hospitali zote kubwa ziwe chini ya JWTZ na wanaotaka kuomba kazi kama hawa interns na madaktari bingwa wawe wana JWTZ baada ya kuhenya. Hospitali kama Bugando, Muhimbili, rufaa Mbeya etc ziwe katika utaratibu huo na iwe mara moja.

Hayo ni mawazo yako au kuna mahali unayasoma?...hii ni nchi huru na tawala zake ni za kidemokrasia na si kijeshi.
 

Serikali yetu inafanya mambo kama mtoto mdogo, yani hapo wanawalingishia madaktari kuwa wamepata mbadala wa MUHIMBILI, hivi kwanini hii serikali inaleta mambo ya kitoto hivi jamani?

Mkuu wakati mwingine ukiwaza sana mambo ya nchi hii, siku yako inaweza kuharibika bure.Katika maisha yangu sijawahi kuona Rais wa ajabu kama huyu
 
Hivi vasco yupo?? Au amekwenda kumuona dr. Uli huko aliko?? A disgrace to ol presidents in the world! Kha!
 
hivi lugalo kuna ct scanner?

Hata kama kuna vifaa vyote, kama hakuna human resources stahiki ya kuvitumia na kutoa huduma ssahihi ni kazi bure. Hii ni ile ya kufunika kikombe ili sisi wananchi (wanaharamu) tusilalamike.
 
Dhaifu sana..kama Lugalo ilikua na huo uwezo mbona haikua inabeba wagonjwa tangu awali?!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom