Ludovic Utuoh anapoficha ripoti zake

Kwa bahati mbaya hoja zako zote zimekuwa clouded by emotion .

kulikuwa na ubaya gani ukatoa maelezo bila kutukana na kurusha maneno makali hivyo?

Nilitaka kukunga mkono lakini nashindwa na sababu kuu ni 3:

1. Wananchi hawajaelimishwa juu ya hizi ripoti za CAG na ukweli ni kuwa nyingi ni za kiingereza kigumu ambacho wengi hawajui.

2. Ofisi yake haijatoa elimu kwa raia hata kupitia michukiz blog ili watu wajue mtiririko mzima wa kuanzia ukaguzu, kuandika na majibu yanaotolewa na hao waliokaguliwa, na pia utaratibu wa kuziweka mtandaoni. Waliposema kuwa ripoti itakuwa hewani lhamis hawakusema kuwa baada ya kupelekwa bungeni sasa mleta hoja kakosea nini kuulizia hilo?

3. Ndio Ludovick utuo ni incompetent na zipo threads nyingi tuu humu ambazo ofisi yake imelaumiwa sasa unataka kukataa nini?

4. Tanzania ina watu zaidi ya milioni 40 sasa unataka kutuambia kuwa kati ya hao anayeulizia ripoti za CAG ni mpaka atumwe? acha dharau zao hizo.

5. Kwa mtu mwenye nafasi yako kuja humu na kutoa matusi si mahala pake kabisa kwa sababu ya heshima yako kama kaka na baba pia. hivi utajiskiaje wanaokujua wakija na kusoma matusi unayovurumisha humu?

Pasco you are better than that.
Jeremy, nimetambua kosa langu na nimeomba msamaha.

1. Sii kweli ripoti ni za Kiingereza. Za
Kiingereza zipo na za Kiswahili zipo.
2. Elimu kwa umma haitolewi kupitia
Michuzi Blog!, elimu kwa umma
inatolewa kupitia media TV, Redio na
Magazeti! yote haya yamekuwa
yakifanyika!.
3. Hili la competance ya Uttouh, I reserve
my comments nisije kuwa emmotional
tena nikakutukana na wewe!.
4. Nimesha liombea msamaha.
5. Ni kweli nimejuta ndio maana
nimeomba msamaha!.

I'll be better than that.

Pasco
 
pasco amekula tenda ya event mgmt kwenye press confr ya utouh so msishangae sana. But tuseme ukweli nan alijua ripoti ya cag bf utouh ukiacha wabunge wachache na wahasibu. Tatizo kubwa ni mfumo wa kisheria uliopo .CAG ni mteuliwa wa raisi na ki binadamu anaaibu na hawezi kumuangusha. Pia ofisi yake inaletewa waajiri na utumishi i.e watumishi wa umma ambao waweza hamishwa na wanalipwa mishahara km others dspt risks wanazopata. Standars za kimataifa zinataka CAG awe huru na aripoti kwa wananchi kupitia bunge. Pia anatakiwa aajiri na kuamua malipo ya watumishi wake. Ripoti zinapashwa kwenda bungeni directly. Haya yote hayapo. BUT THE GUY IS STILL DOING IT NDO MAANA HATA WEWE UNAJUA KUWA KUNA RIPOTI NA OFISI INA WEBSITE ETC. BIG UP UTOUH. BADILINI SHERIA N KATIBA NDO TUANDE KUMULAUMU. MYONGE MNYONGENI HAKI YAKE MPENI.
Mjanja, sijala tenda bali najitolea kusaidia tuu!. Kuhusu CAG nakubaliana na wewe!.
 
Kwa mujibu wa sheria, ripoti ya CAG inageuka kuwa public document mara baada ya kuwasilishwa rasmi bungeni "tabled" not before that!.

Ripoti hiyo ndio imewasilishwa saa 3 asubuhi hii, sasa wewe uliokuwa unaitafuta saa 6 za usiku, ulikuwa unaitafutia nini?.

Kuwa mwanga sio mpaka uwangie watu, bali hata kutafuta vitu usiku wa manane wakati vitu hivyo vipo wazi mchana kweupe, pia huu pia ni wanga!.

Unathubutu kumwita CAG incompetent?!.
Mwanga mkubwa wewe, peleka uanga wako huko huko walikokutuma!.

CAG anafanya press conference mida hii baada ya hapo tembelea website, download report!.

Pasco huwa nakuona kama mmoja wa wanaJF walio na maono and sensible arguments, lo kumbe I had a wrong version of you. It is unbelievable kuwa una argue kwa kum-attack mwenzako. Yeye ametoa maoni, challenge to prove him wrong and not by character assassination arguments kama ulivyofanya!!! It is possible CAG kuwa incompetent, why not!
 
Inawazekana kila mtu akasema lake ila taifa hili linatatizo laviongozi, weng wamepewa ili wawalinde, weng wanafanya kaz za chama na sio za serikali. Hivyo mtu kuja hapa nakumsifia, either of them nakutukana watu mimi namuona niwalewale. Taifa hili linawatu wenye akili na uwezo kushinda Ludovic na yeye anajuwa. So hata yeye hatufai, ameficha mauchafu meng na kama yangeanikwa hapa uyo Pasco angefunga domo. Mungu ibariki Tanzania nakuwaokoa watanzania ktk midomo ya mafisadi.
Tumaini we we waajabu sana? Be honest katika ma CAG Watano waliopita tangu uhuru nanikati Yao alifumua uozo Kama ludovick Utouh? Tuwewakweli Kama Utouh ni binadamu huenda anamapungufu yake lakini sio kujenga personalization zako ni mtanzania gani unayemjua ni genius kuzidi wote Tanzania? Nafikiri lets be objective ndo umuhimu wa jf . Watanzania tuattack uozo tuache kumchukia mtu Bali tuchukie uovu au maten do yake
 
Back
Top Bottom