Lucy Kihwele and Bongo Movie katika DSTv

...Jana (09/11/2011) niliangaliza movie moja saa tatu ama nne hivi usiku...DSTV Swahili. Nilikuta wakiangalia nyumbani, nami nikaungana nao. English subtitles zilikuwa mbaya mbaya mbaya...halafu kuna kijini mtu hicho wakati wote kinavuja tomato sauce mdomoni (eti wao wanatuaminisha kuwa ni damu)

Ni kweli tuna tatizo la ajira, lakini yatupasa tuwe makini na kazi zetu. Tufanye vitu vinavyofanana na ukweli ingawa ni vya kuigiza. Mara nyingi ukiangalia movie, kama ni ya ukweli...mtu huwa unasafiri na hiyo movie...lakini jana nilibaki palepale kwenye kochi nikikodoa macho...

Ushauri wangu ni kwamba, movie isirushwe hewani kama ina makosa dhahiri ya subtitles na makosa ya uhalisia.

Safari ni ndefu, ila nina imani wakuu wote wanaohusika wakiamua kufanya kweli...kila kitu kitawezekana; penye nia pana njia.
 
bado moja...Main character :Vincent Kigosi.
Na tatizo lingine huwa zinaandaliwa mpka kuwa tayari kwa wiki moja tu ,sasa watapata wapi muda wa kuediti.[/QUOTEt!

These are the issues which we need to dwell on and not if Lucy Kihwele is there or not!
 
...Jana (09/11/2011) niliangaliza movie moja saa tatu ama nne hivi usiku...DSTV Swahili. Nilikuta wakiangalia nyumbani, nami nikaungana nao. English subtitles zilikuwa mbaya mbaya mbaya...halafu kuna kijini mtu hicho wakati wote kinavuja tomato sauce mdomoni (eti wao wanatuaminisha kuwa ni damu)

Ni kweli tuna tatizo la ajira, lakini yatupasa tuwe makini na kazi zetu. Tufanye vitu vinavyofanana na ukweli ingawa ni vya kuigiza. Mara nyingi ukiangalia movie, kama ni ya ukweli...mtu huwa unasafiri na hiyo movie...lakini jana nilibaki palepale kwenye kochi nikikodoa macho...

Ushauri wangu ni kwamba, movie isirushwe hewani kama ina makosa dhahiri ya subtitles na makosa ya uhalisia.

Safari ni ndefu, ila nina imani wakuu wote wanaohusika wakiamua kufanya kweli...kila kitu kitawezekana; penye nia pana njia.

Haya ndio mambo ya maana sisi kama JF members tunahitaji kuyaona na kurekebisha!
 
Bongo movies kwa kweli tunahitaji tubadilike nimewauliza karibu waafrika 20 kwa nayakati tofauti na nchi tofauti ambao wameona DSTV channel 127 wote hawapendi bongo movies si kwa sababu ya Theme bali quality, events, effects, wrong subtitles. Kiingereza ambacho sio dialogue za kawaida. Kina wasiwasi mjitahidi kuweka subtitle za ukweee... even Kenyans they dont like Bongo movies. Kuna aina fulani ya watu ndio wanapenda hizi movies katika East and central Africa region, mfano wa congo ambao wanakuja kusubiri mizigo bandarini dsm na wako exposed na tanzania kidogo, people from ghetto hoods wa burundi huko, wanyasa waliowahi kufanya kazi za ndani bongo na kurudi nyasaland sababu wanajua kiswahili. Na hii biashara ya Part 1 n 2 inakatisha watu tamaa. Sasa hivi nigeria movie industry imesurge ndio maana wanabase sana kwenye reality tv prog. Labda wale wenye majina maarufu ndio africa wanaangalia kidogo.

Umesahau kundi moja: Kwenye mabasi ya mikoani. Ukitaka kupigwa, wewe zitoe kasoro!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom