Kuna siku hawa waheshimiwa watadai mtanganyika asioe mzanzibar kwa sababu wao ni wachache bali waoane wao kwa wao.
Mimi siamini kama kuna watanzania wengi kihivyo wanaotaka ardhi zenji. Personally nisingependa kuishi sehemu ninayobaguliwa kila siku na ukikaribia uchaguzi ndio scape-goat wa kila baya! Nadhani umefika wkt sasa watanganyika walioko zenj warudi nyumbani mara moja na wazenj tulionao huku pack n go. Kama watapenda 'nchi yao' iombe uanachama East Africa Community. Ilikuwa ni makosa sana kuungana wa watu wenye historia ya machafuko, chuki and all evils.
Juzi juzi waganda wamegundua mafuta na Museveni ametoa wito wa kuona East Africa inanufaika na mafuta hayo.
Watanganyika tumenunua mafuta miaka nenda rudi, tusitishwe na "mafuta" ya kufikirika. Then tuangalie namna tunavyo weza kutumia umeme wetu kujibu mapigo kama Russia wanavyoitumia gesi yao "kikamilifu".
Zanzibars should be treated just like any foreigner. There should be no let up!
You are damn right mkuu. Argument zao hawa wenzetu hua zinashangaza sana. Nimependa sana huo mfano wa Uganda kugundulika kwamba wana mafuta na the way m7 alivyotoa wito wake. But these guys can't learn any thing from that.