Lucas j. Makombe(kwiro sec school-2001) aliyepoteza certificate ya a level anitafute

Chief Ken Lo

Member
Sep 14, 2011
56
4
habari wanajamvi...
nina A Level Certificate ya ndugu LUCAS J. MAKOMBE - KWIRO SECONDARY SCHOOL mwaka 2001...
naomba ndugu huyu au yeyote anayemfahamu amjuze ili ani PM niweze mpatia mzigo wake huu...
asanteni...
 
huu ndio utu. safi chief.
nakushauri kitu kimoja. akija mtu yeyote kudai kua ni cheti chake aje na cheti cha kuzaliwa,
kitambulisho cha kura, O level cerificate(mana hyo ni A Level) na afdavit plus barua ya utambulisho toka mtaani/kijijini kwao
yaan kwa kifupi kua makini sana usije ukajikuta umempamwizi cheti cha jamaa.
 
nashukuru mkuu...
nitafanyia kazi ushauri wako...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom