Mr.Professional
JF-Expert Member
- Oct 4, 2010
- 1,582
- 258
I can't believe what i read by myself that it is the truth behind the curtains. Oh God give us the way out through this calamity of leadership. Rescue us from their evil deeds. Amen
Inaonekana Lubuva hana kashfa zaidi ya uzee! Lakini uzee dawa. Uongozi haujali uzee wala ujana bali busara za mtu na uaminifu wake. Kwani kule Tume ya Uchaguzi Lubuva anaenda kubeba zege? Mwacheni mzee wa watu awatumikie walipakodi wa nji hii. Kuhusu makamo nimeishiwa nguvu!

Mambo mengine hayana kustaafu ndio maana tunaweza kuchagua Rais mwenye miaka zaidi ya 65!ndio maana kuna umri wa kustaafu kwa mujibu wa.sheria
Tatizo kuna watu wenye Umri Mdogo kuliko hawa watu na wenye ufanisi wanasota hapo hapo Wizarani, Tatizo hawana Majina