Luanda – Angola the 2nd most expensive City in the world!

Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,710
2,226
Luanda, the capital of Africa’s second largest oil producer, has fallen to second place this year from the number one spot it has held since 2010. An oil boom has helped Angola become the third-largest economy in sub-Saharan Africa after South Africa and Nigeria. Crude oil sales account for over 95 percent of its export revenue, and the government expects GDP growth of 12.8 percent in 2012.

The most costly expense in Luanda is renting property, similar to number 8th ranked N’Djamena. Despite the average monthly cost of renting a luxury two-bedroom apartment falling $500 compared to last year, it still remains high at $6,500. Consumer inflation in Angola was more than 11 percent year-on-year in March.

The country is the largest recipient of foreign direct investment in sub-Saharan Africa with inflows of nearly $10 billion in 2010, according to the United Nations Conference on Trade and Development (UNCTAD). Its main overseas investors include China, Portugal, Brazil and the U.S. and expatriates from these countries are sent to oversee local operations in Luanda.
Monthly Rent, Luxury 2 Bedroom: $6,500
Cup of Coffee: $3.90
One Gallon of Gasoline: $2.38
Daily International Newspaper: $5.46
Fast-Food Meal: $19.94*
Source: The World's Most Expensive Places to Live 2012 - Yahoo! Finance
 
Bei ya soda ni kwanza 100. Nauli ya daladala kituo hadi kituo ni kwanza 50. Lita moja ya petrol ni kwanza 45. Kwanza 1 ni sawa na 82 Tsh. mpaka mwaka 2007 hakukuwa na taxi, ni private transport na daladala hata ukitua airport
 
Wese ni kitu kingine ndo maana Iran ana kibri!
Ngoja nasi tuanze chimba letu maana najua wewe lipo usikute kuna watu wanatorosho barrels za kutosha kisa sample!
Time will tell na sample zenu izo!
 
Bei ya soda ni kwanza 100. Nauli ya daladala kituo hadi kituo ni kwanza 50. Lita moja ya petrol ni kwanza 45. Kwanza 1 ni sawa na 82 Tsh. mpaka mwaka 2007 hakukuwa na taxi, ni private transport na daladala hata ukitua airport
ina maana nauli kituo hadi kituo ni kama tsh.4000 na.
 
MKuu this is exactly what is happening here in Tanzania. Kwa wakazi wa Mtwara suala la bei za nyumba (kupanga) na bei za vyakula vinatisha

Audax
 
Ndoo hivyo, ila cha kushangaza ni kuwa nauli ya daladala na lita ya mafuta bei nauli ya daladala, msosi tulikuwa tunanunua kwanza 700 menu ya kawaida kama wali samaki. Hotel kama za sinza hizo mnazoendaga wenyeji badala ya wageni ni dola 250 chumba
 
Wameanza kuwanunu waportuguse mafukara kutoka kwao Ureno...dont you think that is the marvelous place for us as well??
 
Back
Top Bottom