Lt-General Faustin Kayumba Nyamwasa Shot in South Africa

Are you implying that Gen.Nya is our common enemy??
no, i am saying that with overall integration of the federation... then we will dilute hizi factions.... that would account for less than 10% of the population

manake ni kwamba mtu kama nyamwasa atakua insignificant na hatutadeal na small factions kama hizo

who will be our common enemy??? wazungu!!!
 
uajua unachoongea lakini?that 10%unayoongea kumbuka in rwanda tutsi ni 14% na majority hutu ni km 85% na power iko kwa nani>?MINORITY.sasa fanya hesabu zako vizuri.usisahau pia kuwa hiyo hiyo minority unayosema haitatuletea matatizo ndio chanzo cha matatizo ya DRC,sasa kaa chini ufikiri vizuri sana.
 
De Novo,

..wa-Zenj wametushinda, unataka tuongeze na wa-Nyarwanda?

..wakina Kagame walikuwa ni raia wa Uganda, na walikuwa na nyadhifa kubwa na sensitive kwenye jeshi la Museveni. pamoja na hayo hawakuridhika wakaamua kurudi Rwanda kwa mtutu wa bunduki. sasa nini kinakulazimisha kuamini kwamba ndani ya Africa Mashariki hawasisitiza ku-retain identity yao kama Wanyarwanda?

..kwa maoni yangu kutuchanganya wa-Tanzania na nchi zingine za Afrika Mashariki ni kutuongezea matatizo juu ya haya ambayo tunayo sasa hivi.
 
...kwanii kagame anataka kuficha nini,au hawa jamaa wanataka kumpindua..?
 
aende wapi mkuu?kumbuka bado huyu kayumba ni mmojawapo kati ya wale maofisa tisa wa kagame ambao wako wanted na france na spain wanatakiwa wakajibu mashtaka yao the hague.
Hii ndio ile wazungu wanaita "
umetiwa" kivyovyote
 
Back
Top Bottom