Lowassa vs Sumaye nani mwenye hela zaidi?

Nazjaz naona kama unakosea ss swali ukishajua mmoja ana pesa ndo unafanyajeeeeeeeeeeeeeee!
 
Suala la Ulutheri linashabihana vipi na mali za mtu hapa? Au unataka tuanze kutaja machafu ya watu na imani zao hapa? Acha utoto wa kichambuzi

Kweli kabisa kuna wutu mafala sana huku! La ulutheri linamhusu vp yeye? Ila akili ya mtu hapa ndipo utaijulia ili siku nyingine ujue unajibizana na nani! Huyuhuyu ujue analalamikiwa ku-hang picha ambazo siyo zake humu!
 
Back
Top Bottom