Lowassa vs MwanaHalisi

Nchimbi J

Senior Member
Jun 16, 2008
132
20
Nimeangalia kwa makini sana gazeti la Mwanahalisi kwa zaidi ya miaka mitatu mfululizo bila kukosa na leo nasema kwamba Mwanahalisi ni gazeti maalumu lililoundwa kwa ajili ya kumshughulikia Edward Lowasa na Rostam Aziz.Siku ambayo hawa watu wawili hawatakuwepo basi na gazeti letu kipenzi litakuwa limekufa pia.Leo niko tayari kupinga na mtu yeyote kuwa “KAMA MWANAHALISI LIKIKAA MWEZI MMOJA TU HALIJAANDIKA HABARI YA LOWASA BASI NITATOA KWA NILIOPINGA NAE SHILINGI MILIONI MOJA” japo ni hela nyingi kwangu ila nina uhakika haziwezi kunitoka kw kuwa Mwanahalisi wanamuota mchana na usiku Edward Lowasa……….Kwa kweli Lowasa ni mvumilivu sana ningekuwa mie ningekuwa nimeshafungwa jela kwa kumshughulikia mtu mbaya kabisa ,siwezi kuchezewa namna hii.:angry:
 
Nimeangalia kwa makini sana gazeti la Mwanahalisi kwa zaidi ya miaka mitatu mfululizo bila kukosa na leo nasema kwamba Mwanahalisi ni gazeti maalumu lililoundwa kwa ajili ya kumshughulikia Edward Lowasa na Rostam Aziz.Siku ambayo hawa watu wawili hawatakuwepo basi na gazeti letu kipenzi litakuwa limekufa pia.Leo niko tayari kupinga na mtu yeyote kuwa "KAMA MWANAHALISI LIKIKAA MWEZI MMOJA TU HALIJAANDIKA HABARI YA LOWASA BASI NITATOA KWA NILIOPINGA NAE SHILINGI MILIONI MOJA" japo ni hela nyingi kwangu ila nina uhakika haziwezi kunitoka kw kuwa Mwanahalisi wanamuota mchana na usiku Edward Lowasa……….Kwa kweli Lowasa ni mvumilivu sana ningekuwa mie ningekuwa nimeshafungwa jela kwa kumshughulikia mtu mbaya kabisa ,siwezi kuchezewa namna hii.:angry:

Na wewe ni mwanahalisi ambaye unamzungumzia, kumuwaza na kujali sana makala za ukweli za mwanahalisi kumhusu EL. Mbona CCM JK wanazungumziwa pia. Una lako jambo hiyo milioni yako tafutia matumizi mengine
 
Nimeangalia kwa makini sana gazeti la Mwanahalisi kwa zaidi ya miaka mitatu mfululizo bila kukosa na leo nasema kwamba Mwanahalisi ni gazeti maalumu lililoundwa kwa ajili ya kumshughulikia Edward Lowasa na Rostam Aziz.Siku ambayo hawa watu wawili hawatakuwepo basi na gazeti letu kipenzi litakuwa limekufa pia.Leo niko tayari kupinga na mtu yeyote kuwa “KAMA MWANAHALISI LIKIKAA MWEZI MMOJA TU HALIJAANDIKA HABARI YA LOWASA BASI NITATOA KWA NILIOPINGA NAE SHILINGI MILIONI MOJA” japo ni hela nyingi kwangu ila nina uhakika haziwezi kunitoka kw kuwa Mwanahalisi wanamuota mchana na usiku Edward Lowasa……….Kwa kweli Lowasa ni mvumilivu sana ningekuwa mie ningekuwa nimeshafungwa jela kwa kumshughulikia mtu mbaya kabisa ,siwezi kuchezewa namna hii.:angry:

Sina uhakika kama umefanya analysis vizuri. Basically unachosema ni kwamba Mwanahalisi haliwezi kukaa mwezi mmoja mzima bila kuandika ccm! Ni gazeti gani jengine linaweza kukaa mwezi mzima bila kuandika ccm?. Nimetumia jina CCM badala ya majina ya Edward Lowassa na Rostam Aziz uliyoandikwa kwa sababu moja kuu. Wanachokifanya mwanahilisi ni kuuabarisha umma kuhusu ccm with a human face!
 
mwana halisi ni kijigazeti ambacho lengo lake ni kuchafua wa2,yaani ni gazeti la udaku ambalo linatakiwa lijivue gamba.Tuna mambo mengi kwenye hii nchi ya lowasa na rostam tumeyachoka.sijui wa2 wanalipendea nini lile gazeti limejaa unafiki sana.
 
Makada wa Magamba utawajua tu! Pinga na ccm wenzako, sisi twafurah coz mwanahalisi imebeba sauti zetu wanyonge then waandishi wake ni wazalendo. Kubenea yupo India New Delhi bt anatupa mambo kama kawa. Polen sana wafuasi wa mafisadi, najua mwaumia sana!
 
Alieanzisha mada hii ni fisadi, anahongwa na mafisadi papa kuleta fikra nyepesi katika uwanja wa watu wenye fikra pevu. Hawawatu wangefungua "magamba forum" waitumie kupelekeana pumba badala ya kuchafua forum yetu. Mwanahalisi ni gazeti makini lenye uchambuzi wa mambo muhimu ya kisiasa yanayogusa maslahi ya watanzania. Tunalipenda na tutaendelea kulipenda na kuwaombea wapiganaji wetu dhidi ya majambazi hawa wanaoapa kwamba wangekuwa jela kwa kuwafanyia kitu kibaya. Mungu ibariki mwanahalisi
 
Huo ni uandishi mzuri, they are consistent na hawataki kupoteza kumbukumbu. Ujue hao ni Mafisadi wakuu wanamng'ang'ania mpaka waone mwisho wake. Vilevile Mwanahalisi ni gazeti ambalo limesaidia sana vyombo vyetu vya habari kuandika na kusema kwa ujasiri, kabla ya hapo mambo mengi yalikuwa yakifichwa kwa kisingizio cha siri za serikali au kuogopa kufungiwa.

Au wewe ulitakaje?
 
mwana halisi ni kijigazeti ambacho lengo lake ni kuchafua wa2,yaani ni gazeti la udaku ambalo linatakiwa lijivue gamba.Tuna mambo mengi kwenye hii nchi ya lowasa na rostam tumeyachoka.sijui wa2 wanalipendea nini lile gazeti limejaa unafiki sana.

Wewe Bashe nini?
 
mwanahalisi oyeee, nyie gazeti lenu ni uhuru na mzalendo yanayosambazwa ktk ofisi za wakuu wa wilaya na maDED. hayauziki tena, sa nani atanunua akasome pumba za tambwe, makamba na sasa nape xa mukama.
 
Si ninyi mliokuwa mnapakaza Kubenea kanunuliwa? Kwa sisi tunaomfahamu kamanda Kubenea, tulisema mapema kuwa hizo ni siasa za Nape na wenzake ambao waliamini kuwa Kubenea hawezi kuwachapa. Yeye akasema mambo ni kwenda mbele akaanika waanzilishi wa CCJ na mafisadi wake.

Leo mnaanza kulalamika! Tena wewe ulioweka mada unasema kuwa kama ungekuwa wewe ungeshafungwa jela kwa kumshughulikia mbaya wako, mbona tayari mko jela ya kisiasa? Hajamtosheka na tindikali mliyomwagia ambayo imemsababisha miaka yote hii mitatu mtoto wa watu kutibiwa nje?

HaMUMUWEZI Kube, atawachapa wote - magamba na mafisadi wake.
 
mwana halisi ni kijigazeti ambacho lengo lake ni kuchafua wa2,yaani ni gazeti la udaku ambalo linatakiwa lijivue gamba.Tuna mambo mengi kwenye hii nchi ya lowasa na rostam tumeyachoka.sijui wa2 wanalipendea nini lile gazeti limejaa unafiki sana.
Watu tunapenda Mwanahilisi coz linatoa habari zenye lengo la kujulisha uovu wa viongozi wetu ili tupate nafasi ya kujua ubinadamu wao kwetu,pia taarifa nyingi zina sources za uhakika kwa kiasi kikubwa, therefore no udaku hapa.
 
Sasa naamin maneno ya Nape kwamba kuna magamba wameyatuma mitandaoni kuchafua hali ya hewa.
Inaelekea wako wengi sana humu chini ya Malaria Sugu.
BAN Inawahusu hawa jamaa
 
Mwanahalisi wanaongea ukweli wa wengine pia, kwa mfano walisema ridhwani kikwete alishiriki wizi wa deep green finance, wamesema ukweli jinsi kikwete alivyopora nyumba ya watu na kujimilikisha huko mikocheni mtaa wa ursino n.k
Imezoeleka watu wengi wanaoiunga mkono ccm humu ndani pia ni mashabiki wakubwa wa mafisadi na maovu mbalimbali.
 
mwana halisi ni kijigazeti ambacho lengo lake ni kuchafua wa2,yaani ni gazeti la udaku ambalo linatakiwa lijivue gamba.Tuna mambo mengi kwenye hii nchi ya lowasa na rostam tumeyachoka.sijui wa2 wanalipendea nini lile gazeti limejaa unafiki sana.
ushauri wako ni mzuri zaidi hata ya umbo la ajuza kama ungeanzia radio uhuru na zile magazeti ingine!
 
Nimeangalia kwa makini sana gazeti la Mwanahalisi kwa zaidi ya miaka mitatu mfululizo bila kukosa na leo nasema kwamba Mwanahalisi ni gazeti maalumu lililoundwa kwa ajili ya kumshughulikia Edward Lowasa na Rostam Aziz.Siku ambayo hawa watu wawili hawatakuwepo basi na gazeti letu kipenzi litakuwa limekufa pia.Leo niko tayari kupinga na mtu yeyote kuwa “KAMA MWANAHALISI LIKIKAA MWEZI MMOJA TU HALIJAANDIKA HABARI YA LOWASA BASI NITATOA KWA NILIOPINGA NAE SHILINGI MILIONI MOJA” japo ni hela nyingi kwangu ila nina uhakika haziwezi kunitoka kw kuwa Mwanahalisi wanamuota mchana na usiku Edward Lowasa……….Kwa kweli Lowasa ni mvumilivu sana ningekuwa mie ningekuwa nimeshafungwa jela kwa kumshughulikia mtu mbaya kabisa ,siwezi kuchezewa namna hii.:angry:

Hata ukisema upande unaokataa uweke jiwe, nina uhakiika hiyo hela hakuna atakayeila. Umesema kweli men!

Lakini ukumbuke hata kanisani tunaendelea kukumbushwa vitu vile vile kila siku, Mwanahalisi anasimamia maslahi ya wananchi na anzungumzia ufisadi kuwa ndio chanzo cha umaskini wetu. Watu hao wawili unaowazungumzia wako katika kila ufisadi mkubwa ambao taifa limekumbwa nao, hivyo tutaendelea kukumbushwa kila siku juu ya maovu yao na mapya mengine yanayogundulika sasa.
 
mwana halisi ni kijigazeti ambacho lengo lake ni kuchafua wa2,yaani ni gazeti la udaku ambalo linatakiwa lijivue gamba.Tuna mambo mengi kwenye hii nchi ya lowasa na rostam tumeyachoka.sijui wa2 wanalipendea nini lile gazeti limejaa unafiki sana.
Tatizo sio mwanahalisi ila ni kansa inayoitafuna magamba, serikali na wewe mwenyewe ndio maana linakukera na unaliona la udaku, lakini kwa taarifa yako wao ni wambea kwa kutujuza mambo yanayoendelea kila uchao ya ufisadi na utawala mbovu (kansa) ambayo yanakusibu hata wewe, kwahali hiyo lazima uwaone wadaku
 
Back
Top Bottom