Lowassa: Tutachukua jimbo la Arusha kama uchaguzi ukirudiwa!

wape maneno,wape maneno babaaaa kwa hakika uchaguzi unavyoendlea ndani ya c.c.m nakubaliana na sofia simba kuwa we ndio mwanaume pekee ndan ya c.c.m,lowasaaaaa bhaaaaaaaassssss

ni majuha tu ndo wanashabikia mijizi ya rasilimali za nchi yetu. Ole wenu siku zinakaribia mtaikimbia nchi.
 
asubiri kipigo cha mbwa mwizi zaidi ya kile cha mkwewe,chezea arsh,wanajitambua wale
 
Huyo mtangazaji hakumuulizia afya yake? na Sumbawanga anasemaje??
 
Wape maneno,wape maneno babaaaa kwa hakika uchaguzi unavyoendlea ndani ya c.c.m nakubaliana na sofia simba kuwa we ndio mwanaume pekee ndan ya c.c.m,lowasaaaaa bhaaaaaaaassssss
Wacha dhihaka wewe, unamaana mzee Malecela, Kingunge, Mukama, Nape.........etc wamebadili jinsia zao?
 
Nani kamruhusu kuzungumzia uchaguzi wa Arusha mjini wakati swala lipo mahakamani? haoni kauli yake inaweza kuathiri hukumu inayongojewa? ukizingatiwa alishawahi kuwa waziri mkuu kabla ya kutimuliwa kwa ufisadi??
 
Siku zao zinahesabika wacha wajipe moyo kwani garama ya kuwatesa watanzania kwa kampuni feki, umeme feki, barabara feki na mengi mengineyo watailipa tu watake wasitake. Kwani hakuna lenye mwanzo likakosa mwisho.
 
Lowasa akiongea kwenye uchaguzi wa mwenyekiti,amewapa Salamu Wapinzani kuwa uchaguzi ukirudiwa Arusha watalichukua jimbo Mapema iwezekanavyo.Chadema walitumia udhaifu wao kulichukua jimbo.
Wapinzani wanapata kichwa na Maandamano,mikutano mikubwa lakini hawaiwezi CCM,CCM ina nguvu ya Umma,angalia uchaguzi wa Viongozi tu nchi nzima ilitetemeka.
CCM ni chama chenye NGUVU KUBWA.
Source.Radio 5.

Huyu mbaba tulisikia kapooza upande moja sijui wa kushoto au kulia. na akili itakuwa imepooza upande moja.
Hebu waitishe mkutano moja tu wa kichama hapa bila kusomba wamasai wa monduli na wazaramo wa pwani tuone!
 
Nani kamruhusu kuzungumzia uchaguzi wa Arusha mjini wakati swala lipo mahakamani? haoni kauli yake inaweza kuathiri hukumu inayongojewa? ukizingatiwa alishawahi kuwa waziri mkuu kabla ya kutimuliwa kwa ufisadi??

Uchaguzi utarudiwa Mzee wa fitina amesha "prophesize"
 
Lowassa anaota, yaani anafikiri anavyowaonga watu wa monduli kwa kanga,pesa, sukari na wali kwa nyama ni sawa na arusha. Hata amwage mamiliön pesa watakula kura cdm!
 
Ingekuwa anakubalika sana angepita bila kupingwa.. Naye anajtahd tu kuota ndoto za mchana
 
Huyo mtangazaji hakumuulizia afya yake? na Sumbawanga anasemaje??

Alirekodi speech zake tu,na jamaa aliziachia hewan baada ya kuona gazeti lenye heading ya CHITANDA AKUMBANA NA ZOMEA ZOMEA...jamaa akasema ngoja niweke nilichokipata mimi.
 
Back
Top Bottom