Lowassa to strike back ; Mbowe to quit chairmanship?

una uhakika? Nini kinakupa uhakika wote huo?
Mimi sijali nia yake...lakini aki-hit back na kukitikisa chama, itasaidia sana!
Lowassa ameshika makali wakati wenzake wameshika mpini. zaidi ya yote, watanzania si wajinga tena... janja ya nyani kwisa gundua
 
What happened to Mramba and Yona indeed??

The issue in my humble opinion is that EL was sacrificed. The Richmond matter was discussed at cabinet level and the concept Cabinet collective responsibility dictates that all those present were part and parcel of the decision to proceed with Richmond. It is inconceivable that EL could decide to move forward peke yake. Hata kama jamaa ni fisadi na anatamaa, he had chances galore to make $$ many times more than Richmond by staying as PM thru to 2010.

Yawezekana kabisa kwamba JK saw his friend as a threat hasa kama ni kweli kwamba EL alikuwa amepandikiza watu wake all over the place. Lakini, by the same token, EL knew that JK was way more popular and less devisive and therefore more palatable to not just the masses, but also within CCM. He was going to bid his time mpaka 2015.

JK's error was that kama ndugu yangu moja alivyo point out humu ndani, alimtosa EL haraka mno. He did not even put up a semblance of fighting the man's corner! He could have doen so and then "resigned"to the fact that the pressure for EL was too great. Instead he let the man go and thus has ended up being seen as Judas. Remember the way Mkapa fought for Simba alipokata Simba's resignation. Had JK done similar leo the matter would have been looked at differently.

As it stands, EL is fighting a guerilla battle undercover to hit back. He might not even make a statement, tempted and angered as he may be to do so.

The crux: what is RA going to do? He can calm both down and re-engineer something we have not thought of. The "Holy Trinity" might still be alive and kicking!
 
Hizo ni sarakasi kubwa kweli kwli. Sie yetu macho wasije angukia pua tu
 
The Richmond matter was discussed at cabinet level and the concept Cabinet collective responsibility dictates that all those present were part and parcel of the decision to proceed with Richmond.
KUna uwezekano kuwa EL alitumia hila kushawishi wenzake ambao bila kujijua wakapitisha kitu ambacho ni ulaji wake yeye na marafiki zake
 
Kwa salary ipi na per dm ipi inayomwezesha a public servant to own a vast number of bangaloos in TZ as well as in the RSA?? EL ameshachafuka na ananuka, asitake kuwaambukiza na wenzake kwa kuwatuma watu visionless kama nyie!! Lets gets on the serious business ya kuokoa rasilimali za nchi hii ... EL ... EL .. who the hell is he?? kama alikuwa na ndoto za kuja kuwa army-in-chief wa nchi hii nendeni mkamwambie AMESHAFULIA ... atulie tu na miradi yake ya kifisadi ... Muungwana si mjinga kiivyo manvyofikiri ... EL atamalizwa tu ... take it as a note!!

Ndugu yangu una uhakika gani kwamba Lowasa anamiliki hayo majumba mpaka RSA?, unaweza kutuletea ushaidi wa hilo unalosema?. Kama huna ushaidi na umesikia hadithi mitaani basi ni hekima kukaa kimya kwani kutakuongezea heshima. Well watu hatuko sawa hivyo hatuwezi kuwa na fikra sawa. Na kama itatokea sote tukawa na fikra sawa basi mmoja wetu hafikirii. Kutuita sisi tunaodai kuona ukweli juu ya ufisadi wa Lowasa ni visionless bila shaka inaweza ikawa totally opposite kwamba wewe ndiye vision yako ni = 0. Unaamini na kukubali vitu vinavyosadikika bila kutafuta ukweli kwanza. Leta solid evidence za kuonesha kwamba Lowasa ni Fisadi.
Hakuna kitakachobadilisha mtazamo na msimamo wangu kwamba Lowasa hakutetendewa haki na tume ya Mwakyembe. Angepewa nafasi ya kuulizwa maswali kama walivyopewa wengine.
 
una uhakika? Nini kinakupa uhakika wote huo?
Mimi sijali nia yake...lakini aki-hit back na kukitikisa chama, itasaidia sana!

Bora iwe hivyo utabiri wa Nyerere utimie, kuwa upinzani wa kweli utapatikana CCM ikisambaratika
 
Tafadhali mkuu maneno hayo niliyobold yanahitaji prove ya hali ya juu sana! Unless otherwise lakini kulinganisha ufuska wa Muungwana na Mwandyosya nadhani humtendei haki mwandosya! Fuatilia vizuri ugomvi wao vizuri! Kwa jinsi ninavyojua huo ugomvi unatokana na utendaji zaidi na si wanawake! Kikwete alionekana goigoi asiyekuwa na uwezo wa kutoa idea wakati huo mwandyosya akiwa chini yake na mawazo mengi yalikuwa haliyokuwa anayatoa hayakuwa na tija.

- Mkuu Mwandosya ni mmoja wa viongozi wachache sana ninaowaheshimu kwa sababu ya personal conduct yake, lakini it was with a great pain nilipokuja kugundua kuwa kumbe na yeye ni kipanga wa mademu,

- Binafsi kama wewe nilikuwa ninaamini kwamba ugomvi wao Maji ulikuwa wa kikazi, no way haukuwa mazee yalianzia kwa demu ndio yakaenda kwenye kazi kwa sababu kama unamuelewa vizuri Muungwana, ni kwamba it takes hizo lines za dems kumchukia kiongozi mwignine, kwa sababu kama waligombania utendaji wa kazi then how come leo ni waziri katika cabinet yake Muungwana, halafu kwa nini wakati wa kampeni za urais wa 2005 Mwandosya asiseme wazi to the public kwamba Muungwana hafai kikazi na sababu ndio maana hawakuelewana, WHY it does not make a sense! ukiwa na nafasi pitia pale Maji wanaoelewa watakupa darasa vizuri makuu!

Respect.

FMEs!
 
Wabongo husiwaaminie hata kidogo
 
Huyu Demu wa wizara ya maji si nasikia alizusha ugomvi na yule wa wizara gani sijui aliyohamishiwa Muungwana baada ya kuondolewa pale Maji?
Pana wakati nasikia huyu ma Maji (secretary) aliondoka na kwenda kumvaa yule wa wizara mpya ya Muungwana na kuzua kizaazaa. Kumbe Prof. na yeye alipofika akawa amefuata nyayo za mwenzie? Huyu mama basi atakuwa mzuri sana.
 
What happened to Mramba and Yona indeed??

The issue in my humble opinion is that EL was sacrificed. The Richmond matter was discussed at cabinet level and the concept Cabinet collective responsibility dictates that all those present were part and parcel of the decision to proceed with Richmond. It is inconceivable that EL could decide to move forward peke yake. Hata kama jamaa ni fisadi na anatamaa, he had chances galore to make $$ many times more than Richmond by staying as PM thru to 2010.

Yawezekana kabisa kwamba JK saw his friend as a threat hasa kama ni kweli kwamba EL alikuwa amepandikiza watu wake all over the place. Lakini, by the same token, EL knew that JK was way more popular and less devisive and therefore more palatable to not just the masses, but also within CCM. He was going to bid his time mpaka 2015.

JK's error was that kama ndugu yangu moja alivyo point out humu ndani, alimtosa EL haraka mno. He did not even put up a semblance of fighting the man's corner! He could have doen so and then "resigned"to the fact that the pressure for EL was too great. Instead he let the man go and thus has ended up being seen as Judas. Remember the way Mkapa fought for Simba alipokata Simba's resignation. Had JK done similar leo the matter would have been looked at differently.

As it stands, EL is fighting a guerilla battle undercover to hit back. He might not even make a statement, tempted and angered as he may be to do so.

The crux: what is RA going to do? He can calm both down and re-engineer something we have not thought of. The "Holy Trinity" might still be alive and kicking!

Mheshimiwa sana Trader,

Kinachokuwa discussed kwenye cabinet siyo nani apewe tender, bali ni uamuzi wa kukodi mitambo na kwamba zoezi hilo lifanyike namna gani na kwa kufuata taratibu zipi. Kama unakumbuka Ripoti ya Mwakyembe ilisema kwamba kuna wahusika ambao walikiuka maagizo/maamuzi ya cabinet, sasa hiyo collective responsibility unayoisema wewe iko wapi? Kwani ni cabinet nzima ilisimamia zoezi la kupata kampuni ya kukodisha mitambo? Labda sijui maana ya collective responsibility.

Kama JK angekomaa kwamba asikubali EL ajiuzulu, CCM ingepoteza umaarufu wake na baadhi ya wabunge wa CCM wangeasi na madhara yake yangekuwa makubwa kwa CCM. Richmond na EPA ni mambo ambayo yanaitesa CCM mpaka leo hii, na ukiangalia hapo unakuta RA na EL ndiyo vinara wa hiyo michoro michoro.
 
Mzee FMES.
Umeandika vizuri sana.Lakni swali langu ni dogo.. ina maana huo urafiki wote tulioambiwa huko nyuma kati ya President na huyu Edward ndio umekwisha kabisa? Najaribu kutazama nguvu aliyokua nayo president naiona lakini nachelea kusema je ataweza kuitumia ka Lowasa.Sitaki kuwa Thomaso lakini nina hakika haya mambo yana weza kuwa zaidi ya vile tunavyowaza na vigumu sana kuamini kuwa hawa mabwana hizi siasa zimewatenganisha kwa kiasi tunachofikiri.Anyway ngoja tuone

- Mkuu siyajui yote ninayoyajua madogo ni kwamba toka amuondoe kwenye u-PM, hajawahi tena kuongea naye kama zamani yaani one on one, wala kukutana wawili tu, baada ya kuweka mguu chini kwamba lazima awe waziri mkuu wake kule Chamwino, kuna mzito mmoja wa taifa alimuonya Muungwana na kumtaka aweke bet naye kwamba in two years ya uongozi wao hawatakuwa marafiki tena, na kwamba Lowassa atagombea naye urais mwisho wa first term yake, ndio maana sasa hivi muungwana habanduki kwa huyo mzito, aliyemtabiria.

- Wa-Tanzania tutakuwa tumelala sana usingizi kama hatuwezi ku-figure out kwamba ya kina Yona na Mramba, yalikuwa ni about nothing than popularity, sasa the question should be what else mkulu hawezi fanya, maana kumbuka yeye na rostam sasa hivi ni paka na panya, mara ya mwisho Rostam alijaribu kumfuata SA ili aongeee naye japo kidogo lakini akatolewa nje, Rostam kwenye kikao cha siri na mafisadi wenziwe alitaka kuacha ubunge, wakamwambia tena kwa sauti kali sana kwamba Muungwana atamtupa Segerea na kuchaguliwa tena urais kwa urahisi sana, ndio maana sasa jamaa anatafuta tena ubunge! Meaning kwamba kuna baadhi ya mafisadi wanamjua vizuri muungana na power!

- Halafu kuna membe factor, wanao-deal naye on a presonal level, wanasema siku hizi ana new attitude ya kitarajiwa tarajiwa hivi, maana ilikuwa very un-usual kwa yeye kupigiwa kampeni ya NEC na muungwana mwenyewe na sio wapambe wake kama desturi yake, na siku hizi yeye ndiye co-ordinator wa message za muungwana kwa viongozi wengine in private, sasa hili nalo ni tatizo kubwa sana kwa Lowassa kuliko hata Muungwana mwenyewe!

- Nafikiri unakumbuka yaliyowakuta Mwanahalisi, ambao the word ni kwamba walikuwa watu wa karibu sana na Mkulu, lakini walipogusa line ya popularity yake na power, wakagonga mwamba ninasema hivi ni kweli kwamba Lowassa is working hard na arround the clock, na kuna viongozi wengi sana wa juu ambao wako naye kwa siri na wanaamini kabisa kwamba atamu-outsmart muungwana, ni ndoto za mchana na halafu wanachoharibu kuliko yote ni pale wanapodai kwamba watatimiza revenge kwa viongozi waliomshambulia sana Lowassa, hapo ndipo wanapoharibu kuliko!

Naona nimesema mengi sana, haya ni maoni yangu tu na ni analysis yangu kwa kuunganisha dots.

Respect.

FMEs!
 
mzee nasikia baada ya tamko la Salva Lowassa alikasirishwa sana na alikuwa tayari kujibu mapigo na ndio kilimfanya Luhango to come out a little bit stronger. Sasa wanajua kwa vile Kikwete "kajivua" lawama; na serikali imesema wale watendaji wengine hawana makosa makubwa hivyo, basi Lowassa anajikuta ndiye pekee anayeachiwa mauchafu yote ya Richmond.

Matokeo yake sitoshangaa tukaambiwa kuwa Richmond iliingia nchini bila kuingizwa na mtu yeyote na kuturudisha kwenye proverbial "square one".

Ukitaka kuja ni nanni hasa alihusika na Richmond ni lazima mtafute aliyehusika na Dowans kwanza. Hivyo, katika sakata lilivyo sasa ni Lowassa ndiye mwenye kupoteza zaidi kuliko Kikwete.
Duuh, inauma roho lakini
 
EL alikuwa na momentum kubwa 95 kuliko hata muungwana. Lakini momentum yake ilisambatishwa na mwalimu. Muungwana was reckless alipompa u PM na hilo kosa litaendelea kumtesa. It was a mistake kumdharau mwalimu ambaye alisema bluntly kuwa EL alikuwa na halufu ya ufisadi. Muungwana ali underestimate visionary statement za mwalimu. Anyway EL alikuwa rafiki kwa hiyo ilikuwa vigumu kwake kumtosa.

Hata hivyo miezi kadhaa tu ndani ya madaraka tayari JK alishaona soo la EL. Of course huwezi kusema kuondoka kwake muungwana was not responsible. Angeweza in a million chances kumtetea na yakaishia pale. Lakini hata yeye alishaamua kumkaanga ndo maana akaiachia kamati imsambaratishe, ingawa hakutaraji kuwa next move yake ingekuwa ni kujiuzulu. JK alitarajia abakie kuwa waziri mkuu with damaged credibility na hivo angekuwa manageable.

Baada ya kujiuzulu, EL ameshika makali na any wrong move, amekwisha. Hilo analijua na watu wake wanajua. Lakini ana hamu sana ya ku revenge. Nadhani he will do it better through a surrogate kuliko yeye mwenyewe. The Zuma/Mbeki lesson, JK anayo na anazidi kuimalisha his clout in the party. Kumbuka CCM si ANC. Mwenyekiti has a million more opportunity kuimanipulate CCM kuliko alivyokuwa mwenyekiti wa ANC.

Sorry EL, Tanzania na SA are thousands miles apart. You are still strong as long as you don't touch JK.
 
all in all tumeshasema na kuongea sana tunahitaji conclusion ambayo tunabidi kujiuliza kama kweli we still need EL awe kiongozi wetu? je kurudi kwake kuna impact gani kwa taifa letu kwa ujumla?

Binafsi nafikiri EL should be give the stand to talk, kama kweli tunataka kujua nani anausika na RD then let the man speak. Tumuombe agombee urais kupitia CCM hiyo hiyo maana wakati wa kampeni za vitongoji tutajua ukweli kwani ndipo tutaweza kumuliza atueleze RD ni ya nani.

APEWE JUKWAA AONGEE TUJUE UKWELI BADALA YA KUGESS
 
Mahali tulikofikia TZ katika medani ya uongozi tunahitaji kumsikia EL anasemaje, maana mujngwa amekaa kimya mno. Uwongo ukiongewa muda mrefu bila kukanushwa unageuka kuwa ukweli. Mpaka sasa EL amesema hakufanya kosa lolote katika Richmond bali alijizuru kuiokoa serikali. JK anasema hausiki. Karamagi anasema hausiki na ndiyo maana hapelekwi mahakamani.

Kiutawala ni heri ya shujaa aliyekufa kuliko mwoga anayeishi. EL has better chances as we go foward kwa sababu ya vaccuum ya uongozi.
 
Trader,
It is inconceivable that EL could decide to move forward peke yake. Hata kama jamaa ni fisadi na anatamaa, he had chances galore to make $$ many times more than Richmond by staying as PM thru to 2010.
Mkuu hivi unajua Richmond walikuwa wanavuta ngapi kwa mwaka mzima kama wangeendelea ku suppy umeme!..Kisha basi hii ndio ilikuwa imetoka yaani hadi kizazi chake kingeendelea kutajirika..
Unafikiria Mkapa Mjinga kuchukua Kiwira! hivi jamani kweli Wadanganyika hamfahamu kwamba ukiwa source ya Umeme, Mawasiliano, Maji, huu ni utajiri wa kudumu ambao unaiweka serikali yoyote mkononi mwako...
 
Wakuu mmetafakari sana kwa kina, na ndio mfumo mzuri wa ujenzi wa hoja. Binafsi simkubali samwel sitta, dr.mwakyembe na timu yake na pia ninatofautiana na mzee wetu malecela juu ya sakata la richmond.

Watanzania tumelishwa kile wakuu wanachotaka tule kwa usalama wa mamlaka zao, legacy zao na pia kujipatia u consultance kwa muungwana.

Mwakyembe na timu yake wametumiwa kumuangamiza lowasa, spika sitta amejipambanua kuwa mnafiki kwa kujifanya huku nataka kule nataka na mzee wetu cigweyimis akaitumia fursa ile kurejesha mahusiano yake na ikulu.

Najaribu kuangalia network hii kwa mapana, awamu ya nne ni ushindi wa legacy ya mwinyi against mwalimu, ni sawa na kile cha 1995. Edward na jk ni product za mzee wetu mwinyi, sitta na malecela ni vijana wa zama za kambarage ambao hawakuwa ktk page moja kimaono ila walifanana kwa dhati na mzee mwinyi. Execution ya pio msekwa kwenye uspika ni moja ya matokeo chanya kwa mwinyi's legacy against mwalimu.

Hawa king makers waliingia na awamu yao wakiamini hivyo kumbe baadhi yao hawakuweza kujitambua maana miili yao ilijitafsiri kinyume na mioyo yao.

Kilichowasumbua hawa jamaa ni popularity fight, presidaa na pm walijiandaa wote kung'ara na kusahau mafahari wawili hawakai zizi moja. Nathubutu kurudia msimamo huu, ugomvi wao ni nani zaidi kati yao, na kuna mmoja wao hakuwa anajua mwenzi wake anasumbuliwa na hilo kwani alimuamini sana mwenziwe beyond. Aliyewafarakanisha hawa jamaa ni lazima awe very jinias maana alilenga moyoni na tayari watabiri wakajitokeza na kuhadhari. Nihitimishe mawazo yangu kwa kusema " lowasa kama mwanadamu huenda alikosea ila mimi ninaona makosa yake ni pale alipokubali shinikizo la kuuacha u pm kiurahisi na kuwapatia kina mwakyembe medani ya uzalendo ambao hawaustahiki, angekubali kuiachia nafasi kwa kulipa bunge ukweli wa mambo juu ya kile anachoamini juu ya richmond, lakini aliruhusu jazba na ubinadamu zaidi wakati wa vita kwa kusema machache kwa uchungu na ktk hali ya kulalamikia mwenendo wa bunge; bado ninaamini kitendo cha spika kuliendeleza jambo hili ktk baraza lake kutaliletea taifa kitu tusichokitarajia na zaidi tukumbuke kuwa mh.rais anajiandaa ku-retain nafasi yake lakini 2010 si bara tu bali zenj, akicheza karata vizuri huko basi safri yake kuiacha nchi 2015 itaenda vema sana bila breach za wanafiki watakoutaka urais wake 2015. Tumuombee mungu amsaidie ktk kupanga karata zake vizuri, maana kusema tu kuwa rais wetu ana nguvu nyingi ni kumdhihaki mungu, tuungane kwa dua na sala ili hao wanaoifanya presidency wawe waaminifu kwake mpaka dakika ya mwisho. Akumbuke kuwa mtangulizi hakulipata hilo dying hours. Mungu ibariki tanzania
 
Mkandara, twafahamu vizuri benefits za power projects. Witness the way numerous politicians are running for them!:)

Lakini hizo projects were short term in nature sio kama Kiwira. It was only a matter of time before the short term power projects were all cancelled. Kwa hiyo life ya project ingekuwa sana sana miaka miwili. Sawa, even katika pindi hicho wangezichuma.

Lakini bado siamini kwamba as PM unaweza ku-openly go against decision ya Mkuu wako wa kazi, no matter how friendly you may be or no matter how much you think you can control him. In our system of govt, Rais, no matter what, remains the most powerful person even though many think JK ni a weak leader.

EL had too many forces against him: Mr 6 hates him with a passion, wazee wa Chama were against him, na alot of the regional CCM heads were tired of his meddling and hard handed stance. So I guess it was inevitable.
 
What happened to Mramba and Yona indeed??

The issue in my humble opinion is that EL was sacrificed. The Richmond matter was discussed at cabinet level and the concept Cabinet collective responsibility dictates that all those present were part and parcel of the decision to proceed with Richmond. It is inconceivable that EL could decide to move forward peke yake. Hata kama jamaa ni fisadi na anatamaa, he had chances galore to make $$ many times more than Richmond by staying as PM thru to 2010.

Yawezekana kabisa kwamba JK saw his friend as a threat hasa kama ni kweli kwamba EL alikuwa amepandikiza watu wake all over the place. Lakini, by the same token, EL knew that JK was way more popular and less devisive and therefore more palatable to not just the masses, but also within CCM. He was going to bid his time mpaka 2015.

JK's error was that kama ndugu yangu moja alivyo point out humu ndani, alimtosa EL haraka mno. He did not even put up a semblance of fighting the man's corner! He could have doen so and then "resigned"to the fact that the pressure for EL was too great. Instead he let the man go and thus has ended up being seen as Judas. Remember the way Mkapa fought for Simba alipokata Simba's resignation. Had JK done similar leo the matter would have been looked at differently.

Mkuu nadhani collective responsibility ya cabinet haitoi immunity kwa mastermind wa deal chafu, na sio excuse ya collective gulity. Kutokana na hali ilivyokuwa ni much better kwa EL aliyojichomoa, otherwise JK mwenyewe alikuwa hatarini.
 
Back
Top Bottom