Lowassa tena Yumo: Ufisadi Madawa MSD

hii mada nzuri sana!!" bila ya kumtaja lowasa... lowasa, lowasa, mkeo au mumeo akifuja Pesa utakuja na Uzi hapa kuwa lowSa kamfisid mkeo or mumeo...
Mijitu ina akili za bata,lowasa walituita fisadi lakini jk na timu yake hadi Leo hawajaweza kunahitaji,makontena yaliyopita bila ushuru lowasa alikuwepo.ni kweli hii mijitu ikimsikia lowasa inajiharishia
 
Makontena zaid ya elfu2 yaliyopita bila kułpiwa yameshalipiwa? Crdb na tpa saga imefikia wapi?
 
Iwapo huu utakuwa ni ukweli sidhani km watafikishwa mahakamani na km wakifikishwa mahakamani hawata fanyiwa chochote zaidi ya kifungo cha nje cha kufagia barabara....na km ni uongo mtoa mada utaliwa kichwa kwakuwa sheria za mtandao nchini ni za kilofa na kipumbavu lazma na ww ufike mahakamani na hapo ndo utazikumbuka hela za MCC
 
Back
Top Bottom