Lowassa strikes back!

Hivi katiba ya nchi yetu inaruhusu waziri mkuu aliyejiuzuru kuteuliwa tena baada ya muda flani?
 
kama umepata kushuhudia vikao vya bunge wala hili lisingekushangaza.......huyu bwana EL kila anapotokea wabunge na wanasiasa wote wanagombania mkono wake, ana nguvu kubwa tuu, na wala haiwezi kushurutishwa na tabloids.That's why kuna mawaziri wanajitoa kafara kumtetea.... get it and accept it
 
Usanii mwingine bana,mara nyingi huwa najiuliza kama wabongo wanastahili haya ama la.....Yani kufanywa wajinga!Kama alishindwa kuisimamia dhidi ya uwaziri mkuu atawezaje kuisimamia hadi kifo?

Kabla hajapima msimamo wake base on his life span,tujiulize kwanini hakufanya hivyo na badala yake akajiuzulu,kimantiki kujiuzulu si kusimamia Richmond kwenye issue hii,halafu utashangazwa wadanganyika wanaitika tu..."Ndiyo mzee"
 
kama umepata kushuhudia vikao vya bunge wala hili lisingekushangaza.......huyu bwana EL kila anapotokea wabunge na wanasiasa wote wanagombania mkono wake, ana nguvu kubwa tuu, na wala haiwezi kushurutishwa na tabloids.That's why kuna mawaziri wanajitoa kafara kumtetea.... get it and accept it
Hao nadhani ni miongoni mwa hao aliodai kuwa alijiuzulu "kwasababu yao" kwahiyo na wao lazima watakuwa mafisadi,ama inawezeana ccm karibia wote ni mafisadi humo bungeni....Issue kama hizi zilitakiwa ziwagawanye hao ccm kwa manufaa ya nchi,lakini wapi,nashangazwa sana na wabunge wetu....Kama wanaamini kuwa EL was right then lazima watakuwa wanaamini kuwa kina Mwakyembe ni maadui wa chama.
 
Mnaumiza vichwa bure kwani Lowassa alijiuzulu ili Kikwete abaki madarakani na Kikwete atachaguliwa tena ili Lowassa arudi madarakani.

Hao hao wadanganyika ambao wako tayari kumpigia Kikwete kura mwaka huu pamoja na madudu yake yote, kwa nini wamnyime kura Lowassa? Tunasahau kitu kimoja muhimu sana kuwa CCM kwao huu uchaguzi ni jambo la kufa na kupona na nguvu yao pamoja na usalama wao uko katika umoja wao hata kama ni wa kinafiki.

CCM wakigawanyika tu wamekwisha kwani hakuna mwadilifu tena anayeweza kusimama miongoni mwao na na kudai yeye ni afadhali na hivyo imebaki ama waishi pamoja au wafe pamoja. Tumewashuhudia madaktari wawili huko visiwani (Shein na Bilal) eti leo hii wamekuwa wamoja damu damu mradi CCM inabaki salama na wanaendelea kutumbua kama kawaida! Linapokuja jambo linalohusu CCM mimi huwa nasema wataiba, watasema uwongo, watatapeli na ikibidi wataua mradi wabaki madarakani.

Hivi leo ni kitu gani kinatutuma tumlaani Lowassa na kumwita shetani huku tunamkumbatia Kikwete, watu wawili waliopakatana kama pete na kidole.

Dawa ni moja tu kama tunataka kuondokana na hii balaa na udhalimu - kuiweka bench CCM, period !
 
Hivi katiba ya nchi yetu inaruhusu waziri mkuu aliyejiuzuru kuteuliwa tena baada ya muda flani?

katiba ipi hii ya ccm ilitosutwa na a ramadhan au yepi niweke sawa mkuu maana kama wamanisha hiyo mbona yawezekana kwa sana tu!!
 
lowasa atagombea uraisi 2015,kwasasa atabaki kuwa mbunge tu na ataedelea kuwa kimya kama alivyo...kuchukua madaraka mwaka huu haitawezekana.hata yeye lowasa hauhitaji uwaziri mkuu kwa sasa..
 
....mzee wapinzani wa mtandawo walikuwa wamejipanga kweli kweli....na aina yoyote ya kujitetea asingeeleweka...na rais alishafanywa behind the scene ashindwe au aogope kumtetea ......so Mwanajijiji in general Taarifa za kijasusi alizopewa Lowassa kuhusu hali halisi zilimshtua sana..na zilikuwa za ghafla....ie Plan B ya kina Mwakyembe ilikuwa tishio kwa utawala mzima...

...naamini kabisa Lowassa angepata taarifa mapema ya kinachopangwa ....angekuwa waziri mkuu hadi leo ...kwani hata angepata taarifa ndani ya masaa 24 au 48 kabla ya tukio ...angekuwa na uwezo wa kubadilisha kabisa..hali ile na kuwapanga watu wa kumtetea na namna ya kujitetea au hata lolote lingeweza kutokea ......ni wazi tume ya Mwakyembe ilichomudu ni USIRI mkubwa!!!
Acha kutetea uozo wewe!! Lowassa alikuwa na chance ya kujitetea na baada ya kushtuka kuwa lawyer amejipanga vizuri na ushahidi wa kutosha ilibidi aachie ngazi.

Nnashangaa sana unapomtetea eti kwa sababu ni mchapa kazi. Kwenye good governance inatangulia work ethics ambayo huyo EL ameprove kwamba analack. The guy loves the money like nobody's business. We do not need him.
 
kama umepata kushuhudia vikao vya bunge wala hili lisingekushangaza.......huyu bwana EL kila anapotokea wabunge na wanasiasa wote wanagombania mkono wake, ana nguvu kubwa tuu, na wala haiwezi kushurutishwa na tabloids.That's why kuna mawaziri wanajitoa kafara kumtetea.... get it and accept it
Yaani huyu morani sijui kawapa nini, wengi wao ni njaa tu. Kuhusu TBC sijaajua lengo hasa ni nini. Ila hawa jamaa sijui wana moyo wa namna gani, anajua jinsi gani aliharibu lakini bado anataka kuonekana msafi.
 
lakini bwana EL ana roho ngumu kweli kweli
Hivi with your right mind hujiulizi kwa nini anatafuta kila namna arudi kwenye system, anawapenda sana watanzania? Anajua ulaji uliopo na ameumiss kitambo sasa. Ni kama fisi wanavyofuatilia nyama inayoliwa na Simba mpaka Simba anakimbia. Huyo ndo Lowassa ni mchwa wa uchumi wa Tanzania. Nyerere alimjua jinsi alivyo na uchu wa madaraka na ubepari wa wizi!!
 
Umekusudia nini hapa?

upo nchi ipi mkuu? jaji alishahukumia kuwa katiba ni siasa mambo yote yanayohusiana yapelwekwe kwenye bunge la ccm. kuna nini tena hapo. katiba yenyewe wameikoroga maana hata bunge kuvunjwa madaraka ya raisi yanakoma mara lakini ibara nyingine inasema madaraka ya raisi yanakoma mara raisi mteule anapoapiswa. sasa hapo kuna linaloshindikana???
 
Lowassa ana kila haki kutafuta haki yake katika hili jambo. Nimekuwa nikiwaeleza hapa jamvini toka mwanzo kwamba Lowassa alionewa katika hili suala, hakupewa muda kabisa wa kujieleza mbele ya tume ya Mwakyembe. Tume ya Mwakyembe ilikuwa na madaraka ya kumuita mtu yeyote bila kujali cheo, rangi, kabila wala mali kwani ilipewa mamlaka hayo na Mkuu wa nchi.

Kwanini tume Iliweza kuwasikiliza na kuwatembelea watuhumiwa wote isipokuwa Lowassa?. Jamani huwezi kumuhukumu mtu bila kumsikiliza ama kumpa nafasi ya kujieleza. Na ningeomba muelewe kwamba uzuri wa shillingi ni kuiangalia pande mbili na wala si pande moja. Welldone Lowassa.

Kwani alishikiwa mtutu wa bunduki ili ajiuzulu?
 
Naona kama kawaida yake Tido yuko kazini ameshikilia sabuni, dodoki na taulo ya kumsafisha, kumsugua na kufuta uchafu EL.

Kwa nini kila siku anarudia rudia mahojiano na huyu kibaka wa mali zetu?
Nashangaa hata leo karudisha tena haya mahojiano.

Upuuzi tu. Jamaa anajisifu tuuuuu kwamba atasimamia Richmond hata akirudishwa kazini. Amesahau jinsi wezi wale walivyokuwa wanalipwa 152m kila siku hata kama hawakuzalisha chochote? Nadhani ni mwehu huyu bwana.

Mie hadi leo umeme nalipa bill kubwa kwa sababu yake. Nachelea nisimtukane tusi baya...............nikawa banned hapa.
 
I have been watching TBC for the last hour Tido Mhando has been interviewing Lowassa on many issues of national importance nad if am not mistaken this is the second time this year. The question is has the rehabilitation of Lowassa and his eventual return begun?
 
Huyu Brazamen wa Monduli haoni aibu kuzungumza mambo ya Richmond anataka kutukumbusha machungu za RICHMOND angekuwa china ANGENYONGWA?

WATAWALA MASWAHIBA WATAMLINDA .LAKINI ATAJIBU KWA MOLA MABAYA YAKE YOTE .AMEINGIZA NCHI KTK KIPINDI KIGUMU KWA TAMAA ZAKE. KAMA ANA NDOTO YA KUWA RAIS, LABDA NCHI YA KUSADIKIKA.

ENL UMECHAFUKA. HATA USAFISHWE ! HAUTAKATI.
 
Lowassa ana historia gani katika ukombozi wa nchi yetu na katika CCM hadi anafikiri lazima awe rais wa nchi hii?

Na huyu Tido Mhando pamoja na kukaa kwake BBC kwa muda mrefu na kujua nchi zinazoendelea zinadidimizwa sana na rushwa kwa nini anampamba huyu EL. Kumbe Tido kilichompeleka UK ilikuwa ni njaa zake sasa amempata mfadhiri ameziba mifumo yote ya fahamu zake.

Tunahitaji watu waadilifu siyo wala rushwa wa Richmond
 
The rehabilitation and return to politics is going on ever since. The TBC under Tido Mhando is a propaganda machine, what we see now is a calculated move to reinstate Lowassa in his position through the backyard door.

Lowassa knows for sure that bunge is now resolved and the possibility of Richmond to be deliberated is absolutely zero! He want to clean himself before the public after failure to do so in NEC and Bunge.

I have no problem with ED Lowassa to vie for any political posts,my concern is the way he spend his time and resource to ensure that he becomes the next president of our country. EL believes that he was born to be a president of Tanzania. The history had it that a good leader never ever identify himself,but through the eyes of public.Unfortunate this is not the case for dear EL.

Nyerere was a man of vision! even before we came to know who is EL, Mwalimu rejected him longtime. Mwl knew that EL is not a pristine leader by any standard. EL is a man full of greedy and egoism, surrounded by the bunch of corrupt people like Rosty etc.

EL and his accomplice are struggling to install MPs who gonna defend their interest when siphoning the national resources to their pockets. El and et al are busy dissecting the nation by any means to achieve their goal.

The question for Tido Mhando is, could you give the opportunity to other MPs like Mwakyembe, Slaa, Shelukindo etc to be heard the same way EL has been doing?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom