MwanaFalsafa1
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 5,565
- 836
Kamati ya Mwakyembe haikumlazimisha Lowassa ajiuzulu na wala kamati haiku toa pendekezo hilo. Kamati ilikua on a fact finding mission. Kazi ya kamati ilikua ni kuwasilisha nini walicho gundua. Kwa hiyo wote waliosemwa kwa njia wanayo ona si sahihi wange kuwa na nafasi ya kuji tetea kwani kamati haikua mahakama na maneno yake wala haya kuwa hukumu.
Swala linalo nitatiza mimi ni kwamba kama kweli Lowassa alikua innocent kwa nini alijiuzulu? Kwa nini hakuchallenge findings za kamati na kudai haki yake? Did he give up kwa sababu aliona njia pekee ni kujiuzulu na kuita "uwajibikaji"?
Swala lingine linalo chekesha ni watu kudai Lowassa alijiuzulu kwa ajili ya "kusave" serikal ya Kikwete. Kwa nini atake the fall kwa ajili ya serikali nzima? Na kama kweli ali kubali kuji toa muhanga kwa ajili ya serikali kwa kuonekana guilty kwa nini ajitetee sasa hizi?