Lowassa strikes back!

Nilishangaa.... sikutegemea mtu wa Calibre yake afanye mahojiano ya below Standard kiasi kile....
 
Pale ni kwamba Tido Alipata chake cha juu ili amsafishe Lowasa.Kama yangekuwa mahojiano ya kawaida kwanini asinge muhoji waka jana ikiwa ni mwaka mmoja tangu ajitoe madarakani.Hizo ni kampeni kuelekea uchaguzi.
Nadhani Tido naye kwa kiasi fulani alifanya makosa kwani taarifa za kufanya mazungumuzo na Lowasa alikuwa nazo hivyo basi angeitisha kikao hata cha dharula na waandishi wa habari wake pale TBC wangemsaidia hata kumpa muongozo ni jinsi gani ya kumhoji Lowasa.Lakini kwa sababu hapa Tz ukiwa mkurugenzi basi kila kitu unakijua.Hata kama ni mkurugenzi ningeshauri tuwe na mazoea ya kuomba ushauri kwa watu walio chini kwani wana mawazo pengine hata kushinda wakurugenzi wenyewe.
Lakini sishangai sana kwani TBC ni ya CCM ndio maana jana Marine Hassan Marine jana alitangaza mshindi wa urais uchaguzi wa 2010 kuwa ni KIKWETE na kuwa wagombea urais wa CUF na CHADEMA watapambana kuwania nafasi ya pili na ya tatu.hapo napo pana utata Tido ungetolea ufafanuzi kwa hili nalo atamsafisha Marine kama ulivyo msafisha Lowasa?
Kuna haja hata kutafuta wawekezaji wa kuendesha mahojiano kwani wakurugenzi wa mashirika ya umma wanashindwa.Tido nilikuwa nakuheshimu sana hasa pale ulipokuwa unatolea maelezo kuhusu kurusha matangazo kwa njia ya digital lakini sasa nimekushusha ile mbaya.Achia ngazi mkuu.
 
Unajua, jamaa wakati yuko bbc alikuwa bomba sana. Hata mahojiano aliokuwa anayafanya wakati ule, yalikwenda shule. Alipoteuliwa tu kuwa boc tvt na alipokubali nikaanza kuwa na shaka nae. Baadae akaithibitisha ile shaka niliokuwa nayo. Rejea mahojiano yake na Bw. Kikwete, utagundua jamaa amegeuka mouth piece yao. Anaweza akapata hela nyingi, akajenga hekalu but amepoteza ile sifa aliokuwa nayo kwangu... Anatumika kama wengine katika kukandamiza maslahi ya watanzania masikini..!
 
Siyo anataka kujidhalilisha! Alishajidhalilisha sikunyingi tu. siku hizi anajali zaidi maslahi yake binafsi. Yupo kimaslahi zaidi!
 
Yaani huyu morani sijui kawapa nini, wengi wao ni njaa tu. Kuhusu TBC sijaajua lengo hasa ni nini. Ila hawa jamaa sijui wana moyo wa namna gani, anajua jinsi gani aliharibu lakini bado anataka kuonekana msafi.


Msimamo wako upo wapi sasa?
 
No matter how the issue is ? we real need Lowassa to expose each and every thing out, Kwani Richmond walishazika Mbungeni bila kujua Mkosaji ni nani, itakuwa jambo lamaana kama Lowassa atasema ukweli.
Kiapo cha uwazir mkuu kinmbana lowsa kutoa Confidential au top secrets za serkal.
 
Your political tune nowadays have completely changed because your tribemate runs the highest office in this land! Incredible! Nothing is impossible!

Why is it not because Lowassa landed in chadema?
He was against Lowassa while in CCM, you now what him be for Lowassa because he is now in chadema?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom