Lowassa: Silijui shamba la Lukuvi, asema hakuna ardhi ambayo anaimiliki kinyume cha taratibu

Mmasai kaogopa dola, chezea wewe.
Hii dola ifanye Kazi Bila upedeleo Maana kama Kuna Majitu yaliyokigawia Mali za uma na ccm anzia nyumba Za serikali hadi open space...... Na huyu ed hivi vyote Kavitoa ccm hamkumkamata wala hatakaa akamatwe wanalumumba mtabaki Kutoboka Suruali makalio Wakati hamuwez kumfanya lolote toeni boritiiiiii kwenye macho yenu ndipo muone vibanzi kwa ed tafuta hela Maana hawezi shindana na hata mvi moja ya lowasa unabwabwaja. Tuu
 
Viongozi wa siasa kutafuta Kiki Kupitia huyu mzee sijui kutaisha lini#Kweli ukiona wanakuongelea sana ujue unawakuna
kama unadhani wanatafuta kiki kupitia fisadi ni sawa na Mtumishi wa Mungu atafute kiki kupitia Adolf Hitler.
 
Habari zinazopatikana katika gazeti la Jambo Leo zinadai kuwa Lowasa amemjibu Waziri Lukuvi kuwa halijui shamba linalodaiwa alikuwa analimiki!
Lowasa anakuumiza kichwa kweli, fanya kazi ili angalau tupunguze ile aslimia 71, majungu hayawezi kukutoa kijana. Usiumize kichwa kwa usilolijua
 
Mbona mnamsakama Lowassa kwa mambo mengi lakini hata moja hakuna lenye ushahidi. Mnabaki kuropoka fisadi fisadi.
 
Habari zinazopatikana katika gazeti la Jambo Leo zinadai kuwa Lowasa amemjibu Waziri Lukuvi kuwa halijui shamba linalodaiwa alikuwa analimiki!
huyu Lowassa sijui kawapa nini maCCM,

Bila kumtaja taja hawaoni raha. inaelekea walim-miss sana
 
Mbona mnamsakama Lowassa kwa mambo mengi lakini hata moja hakuna lenye ushahidi. Mnabaki kuropoka fisadi fisadi kuanzia sasa anaye msema kwamba ni fisadi huku hata hamfahamu mzee wa watu ni mwendawazimu........
ushahidi ni mahakamani unapelekwa, subiri July mahakama ile ya majizi na mafisadi. Haya ya mashamba na richmond ni trailer tu, movie kamili bado
 
Hata RICHMOND alikuwa haijui.

Unadhani anaweza kulijua shamba?

Mbona mnakuwa kama hamfahamu kuwa Lowassa ana shahada ya usanii kutoka UDSM.

sasa shida ni nini hapo...si mlichukue

au mnataka muanze comedy tena

Amesema halijui.....Hilo mnalolijua nyie lichukueni
 
ushahidi ni mahakamani unapelekwa, subiri July mahakama ile ya majizi na mafisadi. Haya ya mashamba na richmond ni trailer tu, movie kamili bado

Natamani sana mwezi wa saba ufike nimwone lowasa akipanda kizimbani...yaani nitafurahi sana
 
Tafasiri halisi ya fisadi kwa nchi yetu ni kile kitendo cha edward lowasa na fredrick summaye khama ccm na upinzani
 
Back
Top Bottom