Lowassa njoo Tunduru

watenda

Member
Mar 31, 2011
73
13
Mheshimiwa Edward Ngoyai Lowassa, baba wa uendeshaji wa harambee, huku kwetu Namasakata Tunduru kuna kanisa la Anglikana mbalo hatuna kanisa, tunasali chini ya mkorosho na tuna waumini wapato 48. Tumeandaa nyimbo na risala za kukusifu. Tuna ngonjera za kuwatukana akina Sitta, Mwakyembe, Nape, Mwandosya, Membe na Makongoro Nyerere.

Tumeandaa pia watu watakaozimia kwa furaha ya kuwakomboa kutokana na kuwapatia nyumba ya ibada na tutudhihirishia umma kwamba wewe si fisadi na kwamba makelele ya ufisadi si tu kwamba ni wivu wa kike, bali pia ni siasa za makundi zenye muelekeo wa urais wa 2015. Karibu baba, karibu Namasakata, Tunduru, tukupokee kishujaa. Utakapokuja uongozane na Serukamba, Beatice Shelukindo, Januari Makamba, Masha, Mahanga, Nchimbi, Guninita na Mgeja, kwa sababu hawa huwa tunawasikia tu kwenye vyombo vya habari. Mshawishi na Kilumbe Ng'enda ili tumfariji baada ya uonevu aliotendewa. Karibu Namasakata shujaa wetu!
 
Kwa vile bado ni zamu ya makanisa, sisi wa misikiti tunasubiri tuambiwe kwamba sasa zamu yetu imefika.
 
Mheshimiwa Edward Ngoyai Lowassa, baba wa uendeshaji wa harambee, huku kwetu Namasakata Tunduru kuna kanisa la Anglikana mbalo hatuna kanisa, tunasali chini ya mkorosho na tuna waumini wapato 48. Tumeandaa nyimbo na risala za kukusifu. Tuna ngonjera za kuwatukana akina Sitta, Mwakyembe, Nape, Mwandosya, Membe na Makongoro Nyerere.

Tumeandaa pia watu watakaozimia kwa furaha ya kuwakomboa kutokana na kuwapatia nyumba ya ibada na tutudhihirishia umma kwamba wewe si fisadi na kwamba makelele ya ufisadi si tu kwamba ni wivu wa kike, bali pia ni siasa za makundi zenye muelekeo wa urais wa 2015. Karibu baba, karibu Namasakata, Tunduru, tukupokee kishujaa. Utakapokuja uongozane na Serukamba, Beatice Shelukindo, Januari Makamba, Masha, Mahanga, Nchimbi, Guninita na Mgeja, kwa sababu hawa huwa tunawasikia tu kwenye vyombo vya habari. Mshawishi na Kilumbe Ng'enda ili tumfariji baada ya uonevu aliotendewa. Karibu Namasakata shujaa wetu!

Sasa mwisho wake ataishiwa na mistari ya kunukuu maana ile ya Lazaro alishaimaliza kwenye harambee ya Yombo. Mimi nashauri aunde sekretarieti itakayokuwa inaratibu maombi yote ya harambee hizi za nyumba za ibada na kupitia risala na mapambio ya kumsifu kama yanakidhi haja maridhawa za kiutakaso.
 
Jamani mpumzisheni huyu mzee. Atajibu mangapi na atahudhuria harambee ngapi. Kwa vile bado kuna muda mpaka 2015, nyie wa Tunduru subirini 2014.
 
Mheshimiwa Edward Ngoyai Lowassa, baba wa uendeshaji wa harambee, huku kwetu Namasakata Tunduru kuna kanisa la Anglikana mbalo hatuna kanisa, tunasali chini ya mkorosho na tuna waumini wapato 48. Tumeandaa nyimbo na risala za kukusifu. Tuna ngonjera za kuwatukana akina Sitta, Mwakyembe, Nape, Mwandosya, Membe na Makongoro Nyerere.

Tumeandaa pia watu watakaozimia kwa furaha ya kuwakomboa kutokana na kuwapatia nyumba ya ibada na tutudhihirishia umma kwamba wewe si fisadi na kwamba makelele ya ufisadi si tu kwamba ni wivu wa kike, bali pia ni siasa za makundi zenye muelekeo wa urais wa 2015. Karibu baba, karibu Namasakata, Tunduru, tukupokee kishujaa. Utakapokuja uongozane na Serukamba, Beatice Shelukindo, Januari Makamba, Masha, Mahanga, Nchimbi, Guninita na Mgeja, kwa sababu hawa huwa tunawasikia tu kwenye vyombo vya habari. Mshawishi na Kilumbe Ng'enda ili tumfariji baada ya uonevu aliotendewa. Karibu Namasakata shujaa wetu!

Yaani jamaa mmemgeuza kuwa ni kitega uchumi chenu eh! Lakini hii ni bonge la opportunity ya kujiongezea appeal kwa wananchi ili wasahau yote ya nyuma. Fikirieni offer hii.
 
fie.gif
Nyie mlio makanisani sasa subirini, Nizamu yetu wa Misikitini nimeongea na FF pamoja na MS waongee na Bakwata tujue jinsi gani ya Lowassa kufanya Harambee kwenye misikiti yetu
 
Mkuu FF na MS ndo akina nani? Nielimishe.
 
Thread hii haijatendewa haki kutupwa huku lakini ile ya ngono za Malawi imeachwa inatamba. Lowassa anawatumia vibaya sana!
 
Muanzisha Mada nakuunga Mkono

Kazi ya Lowasa sasa hv si kufungua Makanisa utafikiri yeye ni Askofu.

Yaani anajaribu kujisafisha kupitia Makanisa.....................Jinga kweli
 
Lowasa baba babaaaaaaa lowasa!,,,,,,Lowasa babab babaaaaaaa lowasa!,,,,,,,,lowasa baba babaaaaaaaaa lowasa!tunakupongeza na chenge mzee wa vijisenti,,,,,,,,,ohooooooooooooo,ubalikiwe,utukuzwe maaana umeshinda vita dhidi ya 6,nepi,makongoro na wanafiki wengine,
 
Taratibu. Wakikusikia wapambe, huna macho. Tindikali nje nje!
 
Lowasa baba babaaaaaaa lowasa!,,,,,,Lowasa babab babaaaaaaa lowasa!,,,,,,,,lowasa baba babaaaaaaaaa lowasa!tunakupongeza na chenge mzee wa vijisenti,,,,,,,,,ohooooooooooooo,ubalikiwe,utukuzwe maaana umeshinda vita dhidi ya 6,nepi,makongoro na wanafiki wengine,

ANASAFARI NDEFU SANA HUYU YA KUTAFUTA URAIS
AFTER ALL HIVYO NI VIJICENT TU KWAKE!
Anarudisha alicho chota kwa wenyewe , arudishe vyote!
 
lowassa ni bonge la korombweo kwa kuutaka urais mpigeni hela fasta. Nalog off
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom