Lowassa ni mtendaji wa kuaminiwa!

credibility is what politicians lack but when we have some one who can make something for our country lets take some risks....kuliko kukaa na kiongozi ambaye hafanyi chochote kuzeekea bungeni tu

Sure! He can make a good MP but presida needs to be more than a doer - wisdom is critically important! Can Hon. L. Mrema make a good president? How do the two differ?

Lowasa na Baba Juice nawapa aya hii;

Yunus 27:
But those who have earned evil will have a reward of like evil: ignominy will cover their: No defender will they have from God: Their faces will be covered, as it were, with pieces from the depth of the darkness of night: they are companions of the Fire: they will abide therein!

This thread will not pass without my comment.

Sawa shule za kata zimeanzishwa kwa wingi je utafiti ulifanyika kabla ya kuanzishwa? Je aliangalia uwiano wa shule kuwa nyingi na uwezo wa kuziendesha i;e walimu,vitabu na vifaa vya maabara? Je baada ya hapo aliafanya utafiti kuhusu aftermath ya watoto wale kufaulu? Je ni high school? Vocational education au ajira?

Vivyo hivyo je aliangalia knock on effect ya overflow ya wanafunzi kwenye vyuo vikuu v/s ajira. Aliliangaliaje hili? Mie naona lowasa ali gain personally kwenye hizi secondary na hakuna justification kwamba ni mtendaji bora kwa hilo

personally namkubali ni mchapakazi mzuri. Ni ukweli pia tukubali kuwa ni bora tumpatie mchapa kazi au results oriented leader kuliko aliye msafi kama ice lakini kwake results ya kazi anazosimamia kupatikana tena kwa muda ulopangwa sio big deal. We need a surmi leads in our country

Such a comparison is the choice we make between the red and green devil. isn't it? We haven't reached to this point let us be real patriots.

God bless Tanzania.

Lowasa na Baba Juice nawapa aya hii;

Yunus 27:
But those who have earned evil will have a reward of like evil: ignominy will cover their: No defender will they have from God: Their faces will be covered, as it were, with pieces from the depth of the darkness of night: they are companions of the Fire: they will abide therein!

ole wao wanafki ,wazinzi , washirikina maana hawatarithi ufalme wa mbinguni

Ndugu wanajamii, katika viongozi watendaji Lowassa yupo.

Tuaangalie shule za kata; hii ilikuwa ni wazo la Lowassa ili watoto wetu wasome karibu na nyumbani, baada ya kuondoka shule hizo za kata hazikuendelea kabisa,majengo yanabomoka walimu hakuna alitilia mkazo sana....hizo pesa za richmond nafikiri alipeleka huko...

Huyu ni mtu ambaye jamii yake kubwa haijasoma na alikuwa anafanya kwa watanzania wote....huyu ndie kiongozi aliyekuwa na wazo na wazo lake likawa zuri ...sio Mungai aliyearibu mitaala ya shule zetu akafuta michezo na kuleta mtaala mbovu....

Lowassa alijiuzulu kwa kitu kinachoitwa ministerial responsibility na sio kwamba ilizibitika kaiba yeye, ndugu yetu karamagi kwani mnamsikia that was a real culprit, fungueni macho, bora anaeiba na kutumia na aliyewaibia kuliko yule anaekwenda marekani kuponda raha.

Kwanza unakubaliana kuwa aliiba pesa,halafu unasema kuwa alizitumia kwenye shule za kata.Unataka kusema kuwa hapakuwepo na utaratibu wa kupanga bajeti kwa ajili ya shule za kata??
Pili baada ya kuwa umekiri kuwa aliiba hela,unazungumziaje uadilifu wake katika uongozi?Kiongozi mzuri na muadilifu ni yule anayefuata kanuni na sheria maana zimewekwa ili kuweka uwiano wa mamlaka katika utendaji wa serikali.Kwa mtazamo wangu mimi kiongozi mwizi si muadilifu na uchapakazi wake hauna thamani kwa sababu amevunja sheria.
Tatu unafahamu shule za kata zimejengwaje?Fanya utafiti kwanza maana inaonesha wewe ni mtu wa matawi ya juu hata hujui kuhusu shule za kata.
Mwisho,kama ndiyo jitihada za kumsafisha jina ni bora unyamaze maana utakuwa unazidi kumuweka kwenye mjadala na atazidi kuchafuka.

unataka ku2ambia nini? Sasa ndo atakuwa responsible? Hatutaki aliye jeruhiwa wakati wazima wapo. Akafuge machungani monduli

ndio manake . lowassa ni mchapakazi sana .

Hawa wanatuzingua na Mamviii wao, yani wewe unaweza kumurusu mwizi aliye kuibia kuja tena nyumbani kwako AAA wapiiii, kitendo cha ujenzi wa shule kama tungekuwa hatuchangii halafu pesa za Richmoduli ndio zina jenga hapo ndio ungewza kusema hizo pesa zina rudi kwa wananchi lakini tuna zidi kupewa mizigo sisi wananchi kwa kupandishiwa bei za umeme halafu ndio tunasema mchapa kazi!!!!! No Second chance for a thief.

Ndugu wanajamii, katika viongozi watendaji Lowassa yupo.

Tuaangalie shule za kata; hii ilikuwa ni wazo la Lowassa ili watoto wetu wasome karibu na nyumbani, baada ya kuondoka shule hizo za kata hazikuendelea kabisa,majengo yanabomoka walimu hakuna

Kauliza data utambiwa idadi ya walimu wanaogradute mwaka huu haijawahi tokea

alitilia mkazo sana....hizo pesa za richmond nafikiri alipeleka huko...

Huyu ni mtu ambaye jamii yake kubwa haijasoma na alikuwa anafanya kwa watanzania wote....huyu ndie kiongozi aliyekuwa na wazo na wazo lake likawa zuri ...sio Mungai aliyearibu mitaala ya shule zetu akafuta michezo na kuleta mtaala mbovu....

Lowassa alijiuzulu kwa kitu kinachoitwa ministerial responsibility na sio kwamba ilizibitika kaiba yeye, ndugu yetu karamagi kwani mnamsikia that was a real culprit, fungueni macho, bora anaeiba na kutumia na aliyewaibia kuliko yule anaekwenda marekani kuponda raha.

Ndugu wanajamii, katika viongozi watendaji Lowassa yupo.

Tuaangalie shule za kata; hii ilikuwa ni wazo la Lowassa ili watoto wetu wasome karibu na nyumbani, baada ya kuondoka shule hizo za kata hazikuendelea kabisa,majengo yanabomoka walimu hakuna alitilia mkazo sana....hizo pesa za richmond nafikiri alipeleka huko...

Huyu ni mtu ambaye jamii yake kubwa haijasoma na alikuwa anafanya kwa watanzania wote....huyu ndie kiongozi aliyekuwa na wazo na wazo lake likawa zuri ...sio Mungai aliyearibu mitaala ya shule zetu akafuta michezo na kuleta mtaala mbovu....

Lowassa alijiuzulu kwa kitu kinachoitwa ministerial responsibility na sio kwamba ilizibitika kaiba yeye, ndugu yetu karamagi kwani mnamsikia that was a real culprit, fungueni macho, bora anaeiba na kutumia na aliyewaibia kuliko yule anaekwenda marekani kuponda raha.

Ehe hivi wewe umelipwa shilingi ngapi kuja hapa kumtetea Lowassa. Mwizi ni mwizi hakuna mwizi bora usituletee za kuleta hapa. Kiongozi bora ni yule anayepangilia vizuri anachofikiria kukifanya, kupima madhara, uwezekano wa kufanikiwa na mradi uwe endelevu. Sasa kama Lowassa alianzisha shule za kata akiwa kiongozi na baada yakutoka shule zikafa utasemaje ni kiongozi mzuri huyu!!!

Anyway tarehe uliyojiunga humu jamvini inakusuta!!!

Tiba

Tiba

Mbona sakata la Richmond lilimalizwa kinyemela? Huyo jamaa hata siku moja huwezi kumshinda anaijua vyema system ya CCM. Labda siku CCM ikitoka madarakani ndo utaweza kumshinda kwa kile anachotaka kukifanya kisifanyike. Nyie tulieni muone huyu fisadi akitaka kuwa waziri atakuwa tu na wadanganyika hamwezi kufanya kitu

Hawa wanatuzingua na Mamviii wao, yani wewe unaweza kumurusu mwizi aliye kuibia kuja tena nyumbani kwako AAA wapiiii, kitendo cha ujenzi wa shule kama tungekuwa hatuchangii halafu pesa za Richmoduli ndio zina jenga hapo ndio ungewza kusema hizo pesa zina rudi kwa wananchi lakini tuna zidi kupewa mizigo sisi wananchi kwa kupandishiwa bei za umeme halafu ndio tunasema mchapa kazi!!!!! No Second chance for a thief.

mbona ni maneno tu embu thibitisha kwa data sio kusingiziana . tuache mambo ya kufuata mkumbo

Ndugu wanajamii, katika viongozi watendaji Lowassa yupo. Tuaangalie shule za kata; hii ilikuwa ni wazo la Lowassa ili watoto wetu wasome karibu na nyumbani, baada ya kuondoka shule hizo za kata hazikuendelea kabisa,majengo yanabomoka walimu hakuna alitilia mkazo sana....hizo pesa za richmond nafikiri alipeleka huko... Huyu ni mtu ambaye jamii yake kubwa haijasoma na alikuwa anafanya kwa watanzania wote....huyu ndie kiongozi aliyekuwa na wazo na wazo lake likawa zuri ...sio Mungai aliyearibu mitaala ya shule zetu akafuta michezo na kuleta mtaala mbovu.... Lowassa alijiuzulu kwa kitu kinachoitwa ministerial responsibility na sio kwamba ilizibitika kaiba yeye, ndugu yetu karamagi kwani mnamsikia that was a real culprit, fungueni macho, bora anaeiba na kutumia na aliyewaibia kuliko yule anaekwenda marekani kuponda raha.
Umetumwa

Hawa Jamaa wametumwa kama co kuwa ni EL na RA wanajiita hivyo,Mwizi ni mwizi tu hawa jamaa EL na RA wamehujumu sana hili taifa.

haya ni mawazo yako , ulimwona akiiba ? toa ushahidi kama ni kweli mbona unaongea tu ? acha hizo wewe . lowassa ni mchapakazi sana na anastaili kupata uwaziri kama ikithibitika kweli ameiba hakuna mtu atakayemtetea .

Similar Discussions

Back
Top Bottom