Lowassa ni msafi, lakini kwanini aliitwa fisadi?

Bintiwangara

JF-Expert Member
Jun 30, 2013
551
287
lowasa ndani ya chadema (2).jpg lowasa ndani ya chadema (1).jpg

Kwa nini lowasa aliitwa fisadi, hii ni kwa sababu yeye kama waziri mkuu, msimamizi mkuu wa serikali alitakiwa akemee inshu zote za richmond, lakini, yeye alipata shinikizo kutoka kwa Mkulu. Ndiyo maana Kuepuka Mkulu asianguke ilibidi Lowasa ajiuzuru. Vinginevyo Mkulu angetawala Miaka mitatu tu, Na serikari yake ingehanguka. Sasa leo Loawasa ataongea Ukweli kuhusu Richmond,ataongea Vitu vyote ambavyo Mwakyembe aliviacha Kuongea katika Riport yake ,Kwa kuilinda Ikulu.Hata Ongea hayo tu, Pia ataongea kuhusu wamiliki Halisi wa IPTL, pia atagusia Mambo ya Escrow ni nani aliyeengeer Mchakato wote wa Escrow, Ataelezea ni nani Anamiliki Kampuni ya Simba Trust, iliyochukua Bilion 75 kwenye Kashifa ya Escrow. Riport yote ya Takukuru ipo hewani kuhusu Esrow. Ndugu yetu Lowasa anatubu na anarudi kundini, Kundi la makamanda, kundi la Kutetea nchi. The same apply hata Pinda angejiuzuru kwenye kashifa ya Escrow naye angeitwa Fisadi. (Tatizo la lowasa ni Kukubali kujiuzuru kwa manufaa ya Serikali ya CCM)
l
Lowasa atatuambia Fisadi mkuu wa Hii nchi ni nani? Kaeni Mkao wa kura , watu wameshaanza kukimbilia nje ya nchi kuangalia pesa zao kama zipo Salama. Na ninawambia Kuwa SIKU LOWASA ANAAPISHWA RASMI kama RAISI wa nchi hii.

kuna Watu watakimbia hii nchi, kwa sababu Uozo wote utawekwa Wazi ,hatutangalia Mtu,wa cheo chake Sijui alikuwa nani, Wote ni MAHAKANI.

Tutaendelea kuijenga hii nchi, kila mtanzania afaidike na Rasilimali za nchi yake.
Karibu Lowasa, karibu Ukawa.

Ahsanten.
Bintiwangara.
 
Yanini kuandikia mate na wino upo.Usimlishe maneno yeye ana mdomo,sio mtu wa kusemea.Hivi bila EL hakuna habari nyinginezo?
 
Bintiwangara

Kwenye ripoti ya Richmond, Mh. Lowasa alitajwa kwa jina na cheo jinsi alivyohamasisha maamuzi yaliyotolewa. Hakujiuzulu kwa kuwajibika kwa mambo waliofanya watendaji wa serikali bali kwa mambo aliyofanya yeye mwenyewe. Kasome upya ile ripoti ya richmond, bado ipo ukiihitaji. Kama atataja na wengine kuwa nao ni mafisadi itakuwa vyema kuwaongezea Watanzania uelewa wa viongozi wao lakini haitapunguza hata nukta moja ufisadi wake yeye kama Lowasa. Bahati mbaya Mwl. Nyerere aliuona ufisadi wa huyu bwana 1995. Kamwe Lowasa hatakaa aapishwe kuwa rais wa Tanzania. Chama kitakacompokea Lowasa kimeamua kufa naye kisiasa kwa sababu huo ndio mwisho wa hicho chama vile vile. CCM waliona kuwa Lowasa anaua chama chao wakamvua leo wengine wanampokea ili wafe; au ni lile goli la mkono alilosema Nape?
 
Last edited by a moderator:
Hilo povu mie napita tu. Sasa kama anaupata uraisi sijui watoao povu watajificha wapi? Maana siasa hazina adui wa kudumu.
 
Binti unejitahidi kuongea mambo mengi.lakini umeshindwa kumsafisha Mamvi.uchafu wa Lowassa si wa kutiliwq mashaka.
 
Kama lowassa msafi basi na CCM ni safi...........
proved
 
Back
Top Bottom