Lowassa - "Nguvu Kuu" nyuma ya mabadiliko?

Mheshimiwa William Mganga Ngeleja(MB) ni nani?

Kuhusu Mheshimiwa Ngeleja kufahamiana na Lowassa,yawezekana wanafahamiana kikazi tu wakati Mhemiwa Ngeleja akiwa Mwanasheria Wa Vodacom,kama ujuavyo Alphatel ni mmoja wa Mawakala wa Vodacom na kutokana kna kazi aliyokuwa nayo Mhe. Ngeleja ya Mwanasheria wa Vodacom(yaani Regulatory and Legal Manager) ni rahisi kufahamiana na Bwana Lowassa kwasababu ya kupitia Mikataba yote ya Kampuni ya vodacom ambayo ilikuwa ikiingiwa na kampuni zingine.

Kumtaja Ngeleja bila ya kuonysha mkono wa Rasputin wa Ufisadi ROSATM AZIZ ni kuwakosea uadilifu watanzania....

Tanzanianjema
 
I know Masha, so far ameonyesha uwezo mkubwa wa kazi na sio mwizi maana ripoti nzima ya Richimonduli hakutajwa hata mara moja, pmaoja na kwamba yeye ndiye aliyekuwa waziri mdogo wa Msabaha, mpaka katibu ametajwa kuwahusika lakini sio waziri mdogo,

kuna kumpigia debe mtu na kusema ukweli, huwezi kumpigia debe kiongozi ambaye ni waziri tayari, unampigia debe Msabaha, aliyejipumzisha, Masha ni mfano wa kuigwa na hasa ukitilia maanani umri wake, ambao ni mdogo sana kwake kuweza kufanya anyoyafanya as far as uongozi is concerned.

Masha ni mfano wa kuigwa kwetu wote kijana mdogo, msomi, ex-wakili wa binafsi, tena very successful, sasa na uwaziri ndio hivyo anazidi kuonyesha kipaji alichopewa na Mwenyezi Mungu, mtoto mdogo amweza kuishinda tamaa, watu wazima kina lowassa, Msabaha, Karamagi wameshindwa, mkuu toa pongezi kwa kijana maana anatuwakilisha wote wale wenye uchungu na nchi.

Ahsante Mkuu Chuma.

Kaka najua unajukumu la kusafishia mshikaji wako wa miaka mingi, si unajua hata unyamwezini mlishare GETO na viwanja kwa sana!!!

Hata hivyo kaka haya mafanikio ya uwakili unayoyataja sidhani kama ni masuala ya kuigwa na vijana wetu....unajua uozo uliokuwepo pale kilinge cha ushauri wa mikataba bomu ya madini.

Hata hivyo one good thing ni kuwa Masha anaexposure nzuri na hii inanipa moyo kuwa POLISI wetu siku hizi itakuwa mambo ya WATZUP G na sio AROOOOOO tena.

Tanzanianjema
 
LOWASSA ALILAZIMISHWA KUJUZULU?
Baadae usiku nilipokea taarifa ya vikao hivyo viwili vya Chama chetu. Baada ya kufuatilia mjadala Bungeni siku iliyofuata na kusikiliza hisia za watu nchini ndipo tukafikia kwenye maamuzi yale magumu na mazito tuliyofanya. Maamuzi ambayo yalipelekea kuvunjwa kwa Baraza la Mawaziri. Ni maamuzi magumu, lakini yalikuwa hayana budi kufanyika kwa maslahi ya utangamano wa taifa letu. Uamuzi mwingineo tofauti ulikuwa unaliingiza taifa letu kwenye matatizo makubwa zaidi. Ni uamuzi mgumu kwa sababu unawahusu watu ambao ni wenzangu wa karibu kimaisha na kikazi kwa miaka mingi. Na pia kwa sababu unaona wazi kuwa kama mambo fulani fulani yangefanyika mambo yasingefikia kuwa yalivyo. Lakini, ndiyo imeshafikia hapo. Imeshakuwa na fursa ya kufanya vinginevyo kwa maslahi ya taifa haikuwepo. Kama ilikuwepo ni finyu sana na haingeleta hatima tofauti na ile tuliyoifikia.
 
Kumtaja Ngeleja bila ya kuonysha mkono wa Rasputin wa Ufisadi ROSATM AZIZ ni kuwakosea uadilifu watanzania....

Tanzanianjema
Rostam kamsaidia nini Ngeleja?toa uthibitisho.sikatai kama wanafahamiana kwa ukaribu wakati wako Vodacom sababu caspian ni mmoja ya wana hisa wa vodacom,na ina milikiwa na Rostam na lazima kwa njia moja au nyingine wanafahamiana.

hoja yangu si kukataa RA ni mtu wa dili chafu,ila kumhushihsa Mh. Ngeleja na suala la Lowassa kifamilia kama alivyosema Mzee Mwanakijiji.

Ngeleja aliaidiwa sana na marafiki zake wa Victoria Group katika kupata pesa za kampeni nawalichanga kwa moyo mmoja.

Mie Mzee Mzima sina nia mbaya kumtetea kijana ambaye nimemlea katika siasa za kutumikia wananchi.

kama akianza ufisadi na mie ndioe mkombozi wa kuondoa UFISADI sitakuwa tayari kumtetea.ila kwa kuwa baod ni msafi tumpe muda asafishe Wizara ya Madini.
 
Nafikiri kila Kiongozi ana mpambe wake hapa JF kumtetea. Nakumbuka Mchambuzi alivyokuja hapa kutetea Lowassa kwa speed ya kutisha mpaka watu wakamuombea kwa admin apewe u Expert Member. Duh, kwli JF kiboko!!!!!!!!!!!!!
 
Baada ya kutulia chini na kuangalia mabadiliko yaliyofanyika najikuta sina jinsi isipokuwa kuamini ya kuwa kuna uwezekano mkubwa kwamba Lowassa ndiye nguvu kuu ya mabadiliko ya mawaziri, kiasi cha kuhakikisha walioupande wake wanarudi na waliokuwa ni watu wa karibu wanapata uwaziri kamili.

William Ngeleja (nasikia huyu familia zao zina uhusiano wa kindoa.. sijajua)
Lawrence Masha, Chenge na Msolla - wote wana connection na Lowassa

Watu aliogongana nao vichwa kama Diallo na Meghji wamewekwa pembeni.

Naomba tuangalie kidogo Mawaziri waliorudishwa na uhusiano wao na Lowassa.

MKJJ,
Sometimes yasemwayo mtaani yana harufu ya ukweli, japo watu wanajitahidi kupuliza marashi uvundo usienee!

Lowassa alikua PM. CHENGE alikuwa/bado ni waziri Miundombinu. Ngurudoto pafanyikapo semina elekezi ni mali ya Mrema. MREMA huyo ni very close family /rafiki ya LOWASSA.

Wizara ya Ujenzi ina wakala TANROADS iliyokuwa na CEO raia wa Gana. Mgana alipoondolewa LOWASSA akampatia zawadi kupitia CHENGE mdogo wake MREMA kuwa CEO - TANROADS.

Hivyo Chenge karudishwa na Lowassa ili kuendelea kuchati na Mrema kutafuna hela za walalahoi toka mfuko wa barabara!

HAYO NDO MAHUSIANO kati ya LOWASSA na CHENGE.
 
Nafikiri kila Kiongozi ana mpambe wake hapa JF kumtetea. Nakumbuka Mchambuzi alivyokuja hapa kutetea Lowassa kwa speed ya kutisha mpaka watu wakamuombea kwa admin apewe u Expert Member. Duh, kwli JF kiboko!!!!!!!!!!!!!
Mr Zero,
inaweza kuwa sahihi,ila ningependa kuweka wazi .Mie sio Mpambe wa mtu yoyote zaidi ya kuwa Mpambe wa Chama cha Mapinduzi isiyo ya wafanyabiashara.

siko hapa kumtetea mtu bali kueleza ukweli wa mambo,na kama Kanuni ya sita ya tanu ilivyosema 'nitasema ukweli daima,uongo kwangu mwiko'.Nimeeleza ninachokijua na kama kuna mtu an fact zaidi au tofauti nilivyosema anaweza kuleta hapa tukachambua na kupima kwa undani ukweli na uhalisia wa jambo lenyewe.

Tukipotosha hapa,Mzee Mwanakijiji anaweza akatoa Mawazo potofu katika Makala zake,mathani nadhani hii makala imo katoka mpango wa Mwanakijiji,sasa kumbambia habari za uongo ni kumjengea chuki Mwakijiji zidi ya watu.
 
Mkuu chuma mbona na wewe umetuambia jinsi Msabaha alivyo kichwa, sasa ina maana umetumwa naye kuja kumpigia debe?

I know Masha, so far ameonyesha uwezo mkubwa wa kazi na sio mwizi maana ripoti nzima ya Richimonduli hakutajwa hata mara moja, pmaoja na kwamba yeye ndiye aliyekuwa waziri mdogo wa Msabaha, mpaka katibu ametajwa kuwahusika lakini sio waziri mdogo,

kuna kumpigia debe mtu na kusema ukweli, huwezi kumpigia debe kiongozi ambaye ni waziri tayari, unampigia debe Msabaha, aliyejipumzisha, Masha ni mfano wa kuigwa na hasa ukitilia maanani umri wake, ambao ni mdogo sana kwake kuweza kufanya anyoyafanya as far as uongozi is concerned.

Masha ni mfano wa kuigwa kwetu wote kijana mdogo, msomi, ex-wakili wa binafsi, tena very successful, sasa na uwaziri ndio hivyo anazidi kuonyesha kipaji alichopewa na Mwenyezi Mungu, mtoto mdogo amweza kuishinda tamaa, watu wazima kina lowassa, Msabaha, Karamagi wameshindwa, mkuu toa pongezi kwa kijana maana anatuwakilisha wote wale wenye uchungu na nchi.

Ahsante Mkuu Chuma.

I agree, huyu kijana kwa kweli ame-prove kwamba umri is a non issue kwenye competence. Hawa ni kati ya viongozi wachache wanaoendelea kuipa CCM credibility. Of course, lazima atakuwa alishafanya makosa katika maisha yake, lakini common, aliweza kuyasahihisha na hakuna ushahidi wowote kwamba mafanikio yake kimali yametokana na kuwaibia watanzania. Kwa hiyo mimi nina respect sana na huyu waziri mpya maana yeye amepitia mstari ulionyooka: amepata mahela kwa bidii yake bila kutuibia, amepata elimu yake kwa kichwa chake, and this is what we want. Sio watu wanaingia kwenye madaraka wana kuku wanne lakini wanamaliza uongozi wamekuwa mamilionea, ebo tutakataa. Wengine wanajipachika elimu wasizokuwa nazo, hawa tutaendelea kuwadharau siku zote. Kudos Masha and keep up the good work, we will support and defend your performance in politics, academia and business.
 
Yule Binti Mkubwa aliyepewa mazingira Batilda nasikia ana uhusiano wa karibu na EL sasa sijajua atamtumiaje labda kutoa SIRI za Baraza la Mawaziri kwenda kwa EL wana JF wenye data zaidi tumwagieni
 
Yule Binti Mkubwa aliyepewa mazingira Batilda nasikia ana uhusiano wa karibu na EL sasa sijajua atamtumiaje labda kutoa SIRI za Baraza la Mawaziri kwenda kwa EL wana JF wenye data zaidi tumwagieni

Back to where we are best of...
 
Nafikiri kila Kiongozi ana mpambe wake hapa JF kumtetea. Nakumbuka Mchambuzi alivyokuja hapa kutetea Lowassa kwa speed ya kutisha mpaka watu wakamuombea kwa admin apewe u Expert Member. Duh, kwli JF kiboko!!!!!!!!!!!!!

Umestukia eeeh....
 
Back
Top Bottom